Hii imekaaje?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Hawa waislamu walishangilia sana wakati JK anasaini hiyo sheria ya marekebisho ya katiba,
wakifikiri wanaikomoa CDM. Matokeo ya kushangilia DHAMBI sasa itaanza kuwatafuna wao.

Sheria aliyoisani JK hairuhusu, NGOs, vyama vya kiraia, vyama vya Siasa, vyama vya kidini,
etc kuandaa makongamano ya katiba mpya. Ukifanya hivyo ni kosa la jinai na adhabu yake
imeaanishwa kwenye sheria hiyo, fani 5 mil(?), kifungo mwaka mmoja(?) jela au vyote viwili kwa pamoja.

Hayo ndiyo matokeo ya kushangilia DHAMBI. Ninajua serikali inaweza kuwafumbia macho
hao waislamu kwasababu inafahamu from the word GO ajenda zao ni Mahakama ya kadhi,
Tanzania kujiunga na OIC na Serikali inawapendelea wakiristu, Ubalozi wa Vatican Tanzania etc.
Madai kama hayo kulingana na sheria aliyosaini JK anaweza kuyaweka kapuni bila hata kuyasoma
na asiulizwe ni mtu because he is ALPHA & OMEGA.
kilichosainiwa na rais kia makubwa
 
mkuu ina mana una uhakika walioshangilia ni waislam watupu wakristo hawamo? viongozi serekalini wanaomuunga mkono pmj na wabunge wote ni waislam? na hata kama iliwahi kutokea ivo kwa mfano unahisi ni sahihi kuwageneralize waislam wote? uzi wako unaweza kuleta mjadala wa kidini zaidi ya content yako ambayo mie naamini ni nzuri tu, so jaribu kua na mitazamo yenye kujenga na busara kwa lengo la tanzania mpya ambayo wewe na mimi tunaiwaza bila mafaniko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom