Muswada kurekebisha sheria ya machakato wa katiba upo tayari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada kurekebisha sheria ya machakato wa katiba upo tayari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PhD, Jan 10, 2012.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  pamoja na kupitishwa kwa sheria ya mchakato wa katiba mpya kwa mbwembwe na wabunge wa CCM na ndugu zao CUF, habari za kuaminika ni kuwa serikali inawasilisha bungeni marekebisho ya sheria hiyo mwezi huu , kwa hatua hii ni wazi kuwa wabunge wa CCM wajitathimini namna walivyo wajinga kwani ndani ya mwezi mmoja tu baada ya kupitisha sheria ya kijinga , sheria hiyo inafanyiwa marekebisho
   
 2. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Hii nafikiri sasa inavunja rekodi kuwa sheria ya kwanza kutungwa na kufanyiwa marekebisho kabla haijafanya kazi hata moja! Nchi ya sanaa sana hii, na wabunge waliopitisha kwa 100% ndo waigizaji wenyewe. Kama ni kweli basi tutaona mengi kabla ya 2015. Lets wait and see.
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  wanaileta kama miscillenious ammendment of the written laws yani ni kituko kwa wabunge wa ccm
   
 4. gollocko

  gollocko JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 2,830
  Likes Received: 1,544
  Trophy Points: 280
  Source pliz!
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  thubutu kukutwa umeandika 100, utalipiwa kifurushi chako. Mia
   
 6. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Si kuna watu walileta kipengere cha sheria kinachosema kwamba sheria inaweza kubadilishwa/kurekebishwa miezi sita baada ya kusainiwa na Rais. Sasa ni kipengere gani kinatumika hapa??
   
 7. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  No thanx! Sihitaji kulipiwa.
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Walidandia hoja ambayo haikuwa yako kama ilivyokuwa mahakama ya kadhi!!
   
 9. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote ..... nchi yangu tanzania ............

  Shiiiiiiiiiiiii let me wait nchi ya kinyonga hii.
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  magamba akili ndogo. Fikira zao ni kwenda kinyume na CHADEMA tu
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii si ya kwanza. Sema publicity ya hii imekuwa kubwa kwa ajili ya public interest. Kuna sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010 pia
   
 12. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  haya sasa waliosema chadema walienda kunywa juice aibu yaoo, ningeshangaa sana chadema wapigwe chenga na ccm
   
Loading...