Hata upanga husalimu amri kwa ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata upanga husalimu amri kwa ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mendelian Inheritanc, Jan 10, 2012.

 1. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanafalisafa mmoja alipata kusema hivi " Unafahamu ni kitu gani kimenishangaza kuliko vyote maishani? Ni kushindwa kwa matumizi ya nguvu kunipatia kitu chochote cha maana na endelevu katika maisha. Nimetambua kwamba mwisho wa yote hata upanga husalimu amri kwa ukweli" Hapa Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya ufisadi katika taifa letu, na si vinginevyo au kujaribu kutumia nguvu ya aina yoyote kuzima ukweli ambao uko wazi, kwa vitisho na kufukuza wanavyuo na madaktari hii ni hatari kwa taifa letu.

  Ikumbukwe kwamba Jukumu la kwanza la kiongozi na serikali makini ni kuwapa watu wake matumaini ya kuishi na si kuwatisha, kuwaua na kuwafukuza. nawasilisha
   
 2. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunataka mabadiliko
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  chama legelege huzaa serikali legelege,serikali inashughulikia vitalu.
   
 4. P

  Paul J Senior Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe mkuu, lakini upanga husalimu amri pale ambapo ukweli unapotetewa kwa nguvu zote na kama ukweli hautatetewa basi upanga utauangamiza ukweli na tutabaki na historia! Kwa mfano madaktari 229 wamefukuzwa pale Muhimbili na huu ndo upanga wenyewe lakini jamii kama jamii imekubaliana na upanga huu na hakuna anayehoji kwa nini wanafunzi hawa wafukuzwe wakati madai yao ni ya msingi kabisa, sote tuko kimya! Jamii ya watanzania kama ingepaza sauti moja ya kwa nini wanafunzi wafukuzwe na huu ndio ukweli unaotakiwa kusemewa basi upanga ungesalimu amri kwa ukweli lakini kwa kuwa tunaongozwa na viongozi vipofu nasi tukawa vipofu hata kwenye ukweli tutaukubali upanga maana akili yetu na macho yetu hayauoni huo ukweli, yamefunikwa na giza! Suara la madaktari ni fundisho kwetu watanzania kwamba hatuko pamoja katika kutetea maslahi yetu kwa umoja na kwa jinsi hii hamna jinsi upanga utasalimu amri kwa ukweli maana bila kuusemewa ukweli hamna jinsi unaweza kuushinda upanga! Baada ya kufukuzwa madaktari nini tumefanya kama jamii tofauti na kukaa kimya wakati watu wanazidi kuumiya mahospitalini, tuache unafiki tuusemewe ukweli na mwisho tutakuwa huru kwa vinginevyo tukiamua kuwa watumwa kwa kutousemea ukweli tuache kulalamika upanga ufanye kazi yake!
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko yanaletwa na wewe, mimi na yule kwa vitendo na siyo kwa maneno
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Amani upole wetu umefika pabaya kwani hata haki zetu za msingi tunanyang'anywa yatosha sasa. Wamewafukuza kwakuwa wanajua wao wakiugua wanakimbilia India fasta je sisi kimbilio letu wanaliangamiza. Je yafaa tuendelee kuvumilia? Tuendelee kuwa na uvumilivu usiokuwa mipaka? Katika ktk hili sitokosea nikisema nasi wananchi ndio tunaosabasha haya yote kwa ukimya tunaouonyesha kwa serikali mpaka wanajisahau kiasi hiki
   
 7. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe mkuu, lakini upanga husalimu amri pale ambapo ukweli unapotetewa kwa nguvu zote na kama ukweli hautatetewa basi upanga utauangamiza ukweli na tutabaki na historia! Kwa mfano madaktari 229 wamefukuzwa pale Muhimbili na huu ndo upanga wenyewe lakini jamii kama jamii imekubaliana na upanga huu na hakuna anayehoji kwa nini wanafunzi hawa wafukuzwe wakati madai yao ni ya msingi kabisa, sote tuko kimya! Jamii ya watanzania kama ingepaza sauti moja ya kwa nini wanafunzi wafukuzwe na huu ndio ukweli unaotakiwa kusemewa basi upanga ungesalimu amri kwa ukweli lakini kwa kuwa tunaongozwa na viongozi vipofu nasi tukawa vipofu hata kwenye ukweli tutaukubali upanga maana akili yetu na macho yetu hayauoni huo ukweli, yamefunikwa na giza! Suara la madaktari ni fundisho kwetu watanzania kwamba hatuko pamoja katika kutetea maslahi yetu kwa umoja na kwa jinsi hii hamna jinsi upanga utasalimu amri kwa ukweli maana bila kuusemewa ukweli hamna jinsi unaweza kuushinda upanga! Baada ya kufukuzwa madaktari nini tumefanya kama jamii tofauti na kukaa kimya wakati watu wanazidi kuumiya mahospitalini, tuache unafiki tuusemewe ukweli na mwisho tutakuwa huru kwa vinginevyo tukiamua kuwa watumwa kwa kutousemea ukweli tuache kulalamika upanga ufanye kazi yake![/QUOTE]


  CRAP CRAP UR RIGHT MKUU. DAT IS TRUE ila ninawatia moyo kuwa hakuna silaha yoyote duniani ilishawahi kushindana na nguvu ya umma ikashinda, Hakuna dhuluma na uongo duniani ulishawahi kushindana na ukweli ukashinda, najua kitu kimoja ukweli haujawahi kushindwa, najua uovu utashindwa na ukweli tatizo watz tumekuwa waoga kuliko uoga wenyewe
   
Loading...