Kuna baadhi ya mawaziri wanahujumu katiba mpya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna baadhi ya mawaziri wanahujumu katiba mpya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MBURE JASHA, Jan 10, 2012.

 1. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Salaam wadau wote wa JF.
  Nipo wilayani Mwanga Takribani wiki tatu sasa. Nimekuwa nikifuatalia ziara ya Mbunge wa Jimbo la Mwanga Prof. Jumanne Abdala Maghembe anayoifanya jimboni mwake kuhusu mchakato wa Katiba Mpya. Nimevutiwa kufuatalia ziara hii kwa sababu nyingi tu lakini kubwa ikiwa Je Wateule wa JK na Viongozi wa CCM wanaridhika na Mchakato huu ? Au wamedandia gari kwa mbele? (kurukia hoja )
  Nimegundua lifuatalo:-
  1. Pamoja na Uchache wa watu wanaohudhuria mikutano hii. Anawaambia kuwa waachane na habari ya katiba mpya kwa sababu hata wao kama mawaziri hawaoni umuhimu wake. anasema katiba iliyopo sasa ni bora hivyo watu waache kurukia kitu wasichokijua akitolea mfano vurugu zilizotokea kenya kuhusu mchakato wao wa katiba mpya. Binafsi mimi najua kuwa kiongozi haruhusiwi kuonyesha picha/video zinazohusiana na vurugu au mauaji ya kisiasa kwenye miktano ya hadhara lakini huyu jamaa anafanya hivyo .
  Hii ni dhahiri kuwa watawala hawako tayari kutupatia katiba mpya.
   
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Naona anaangala na watu wa kuwaambia upeo wao ukoje! sasa hivyo vizee vya hapo Mwanga vina nini? Aende Moshi mjini akongee huo upupu aone.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  baba dhao ndo sisi.

  mwache atwange maji kwenye kinu.
   
 4. e

  evoddy JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Katiba lazima ipatikane hata kama ni kwa damu kumwagiga subiri wakati ufike
   
 5. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,489
  Likes Received: 4,503
  Trophy Points: 280
  collect evidence tumfungulie mashaitaka kwa kwenda kinyume na sheria mpya waliyo iunga mkono wao wenyewe CCM, labda kama sheia hizo mpya haziwahusu CCM
   
Loading...