Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taifa hili linaelekea kupoteza mwelekeo wa maendeleo kabisa na inaelekea kama CCM haitaendolewa madarakani katika uchaguzi wa mwaka 2015, tutapotea kabisa kama Somalia. Mwanzoni mwa miaka 80, nchi...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Jamani wadau wa jf,hili la mchanga wenye madini kupelekwa nje litakoma lini? Au ndo moja ya makubaliano katika mikataba na kwa nini hii mikataba inaendelea kuwa siri? Inauma jamani,kama serikali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo asubuhi around saa 3 pale traffic lights Magomeni nimeona askari magareza wakimpa kipigo cha mbwa mwizi dreva wa fuso kisa eti amekaa kupisha gari la wafungwa. Sisi wapita njia tumesikitishwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
katibu mkuu wa chama cha NCCR mageuzi Bw Sam Ruhuza jana amezomewa na wakazi wa mji wa kasulu wakati alipojaribu kueleza sababu za chama hicho kumfukuza uanachama mbunge wa kigoma kusini Bw David...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiwa mfanyakazi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam nimesikitishwa sana na maamuzi ya kijinga yanayofanywa na wahesimiwa wetu. tarehe 8/1/2012 nimesoma andiko la vitisho kwa wanafunzi na viongozi wa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
BOOKMARK THIS PAGE Lowassa aponda nguvu ya umma Send to a friend Tuesday, 10 January 2012 21:07 0diggsdigg Anthony Kayanda, Kigoma WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wimbo wa kasi mpya umefia wapi? Samson Mwigamba MHESHIMIWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwanza nakupa hongera kwa kutimiza miaka sita ndani ya Ikulu ya Magogoni. Lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili swala la tanesco mkuu huku tunalipa luku karibu 3800 kila mwezi kwa madai ni service charge yaan hiyo unatoa bila kupata unit hata moja ivo waweza jikuta katika kum elfu unapata unit chache...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Wana JF, Wabongo mambo mengi tunayaona! yanatuuzi! lakini hatufanya kitu! hata kama fursa/ tuko kwenye nafasi ya kufanya kitu! kisa eti utaonekana mnoko/kauzu!! Japo sijafanya research, ukweli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nmekaa nkatafakari sana nkagundua Tanzania haina sifa ya kuitwa nchi,kwa sababu 1)tanzania haiongoz kitaaluma inaongozwa kisiasa 2)Viongoz wake hawana sifa ya kuwa kiongoz mf,KIKWETE alikuwa na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Watanzania mnanikumbuka-Mkapa bado tu hakumbukwi? http://youtu.be/PqhgnfgNwHI
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By Judica Tarimo 11th January 2012 On January 5, this year, one local newspaper wrote: “Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) commemorates those killed during a mass demonstration in...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
KUMBE HUYU MZEE MAALIM SEFU SHARIFF HAMAD BADO IMARA HIVYO!! SIKUJUA! HABARI ZAIDI SOMA HAPA MAKALA TOKA TANZANIA DAIMA: NA Absalom Kibanda TAIFA linao viongozi wawili tu maarufu zaidi ambao...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
MWISHO WA CUF Kwa kawaida mto unapo elekea kukauka maji hujisogeza zaidi katk mkondo mwembamba, maji machache yakigawanyika nirahisi sana kukauka, mie nawashangaa hawa akina Rashid badala ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi bado naendelea kujiuliza kama kuna siku tutakuja kuwa na uchaguzi ambao utakuwa wa uhuru na haki ikaonekana kutendeka. Ninaposema haki ionekane kutendeka ninamaana mshindi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anadai suala la Chadema kudai Katiba mpya ulikuwa ni mtaji wa kisiasa kwa ajili ya 2015. Sasa wamenyang'anywa na JK. Wanabaki na kigugumizi. Anaongea mengi na mengine nadhani kwa mtizamo wangu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
na Ali Lityawi, Kahama CHAMA cha Mapinduzi, mkoani Shinyanga, kimemtaka Waziri wa Nishati na Madini Wiliam Ngeleja kuwafukuza nchini wawekezaji wa migodi miwili ya dhahabu iliyoko wilaya ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Imeandikwa na Halima Mlacha; Tarehe: 10th January 2012 @ 14:35 SERIKALI imekanusha tetesi kwamba ina mpango wa kutoimarisha ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Hata hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa natafakari juu ya nchi yangu, wakati wenzetu kama china, malaysia, singapore, south korea etc waliwekeza katika Elimu Bora ambayo sasa inawalipa lakini nchi yangu Tanzania inawekeza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom