Ni yupi anatumia nguvu nyingi CCM kwa ajili ya Urais 2015?

Wakuu unaona niyupi anagombania urais 2015 ndani ya CCM bila aibu?

Irais ndiyo nini babu?rekebisha title ya thread kwanza
Kuhusu mada:Kwani mtu akigombea Urais bila aibu kuna tatizo gani?Nadhani ndiyo safi ili tumjue vizuri kama atafaa kuwa Rais wetu au naye ni walewale tu.Au we unadhani wanaojifichaficha ndiyo wagombea wanaofaa?
 
Kwa mtazamo wangu 2015 CDM itashindwa kama 57% nakuendelea kama uchakachuaji hautakwepo,
ila kwa vile watanzania wengine hawajielewi mzee wa mvi atasumbua sana ingawa kupata urais ni ngumu.
 
irais ndiyo nini babu?rekebisha title ya thread kwanza
kuhusu mada:kwani mtu akigombea urais bila aibu kuna tatizo gani?nadhani ndiyo safi ili tumjue vizuri kama atafaa kuwa rais wetu au naye ni walewale tu.au we unadhani wanaojifichaficha ndiyo wagombea wanaofaa?

mbona hujamtajia sasa,nilijua mwishoni utamtaja nikawa nakusoma kwa makini...
 
Kwa mtazamo wangu 2015 CDM itashindwa kama 57% nakuendelea kama uchakachuaji hautakwepo,
ila kwa vile watanzania wengine hawajielewi mzee wa mvi atasumbua sana ingawa kupata urais ni ngumu.

mbona na wewe hujamtaja pia?au ndio huyo mzee mvi umemtaja kiaina?
 
Mwenye macho haambiwi "tazama." Ni nani aliyegundua hivi karibuni kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana ni tatizo la kitaifa? Ni nani anayezurura akichangisha fedha za makanisa? Mwenye macho haambiwi "tazama."
 
Pia kuna tetesi kwamba anataka kuwa mfadhili wa club ya Msimbazi. Jamaa ana mpango mkakati balaa.
 
Duu kweli jamaa mkali kinoma.unajua ukiwa na madaraka unakua bize sana sasa alivyo jitoa ktk uwaziri mkubwa amekua free.muacheni aishi kama wananchi wengine kina MENGI.MANJI.BAKHRESA.ebwana daa kweli NGOYAYEEE mtemi.alafu ngoja niwaulize wana jamii.bwana LOWASA hana haki ya kuabudu.?Alafu huyu mshua anapesa.amewaibia shilingi ngapi?Kuna mvuta bange mmoja aliimba.NAIBA NASEPA KAMA EL.NA IKIWA LOWASA ATAGUNDULIKA HANA HATIA MVUTABANGE UTAWEZA KUMLIPA FAINI HUYU MZEE.?uliimba kwa ushaidi wa kuona au kusikia?
 
Back
Top Bottom