Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkubali msikubali wale ambao tumewasiliana nao privately mtakubaliana na mimi kila unayemuuliza wewe mwana CDM kadi yako namba ngapi na uliichukulia wapi wanjiuma uma tuuuu. Tunaaamini kuwa kura...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Prophet Joshua anasema njia pekee ya kufight poverty, unemployment na corruption in Africa ni kuuza Madini na other Natural resources kwa technologia na sio dollar au pound! Akitolea mfano nchi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Tuesday, 10 January 2012 22:22 By Anthony Kayanda The Citizen Correspondent Kigoma. Police in Kigoma were forced to use tear gas to disperse people attending a meeting convened by the...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Ofisi ya rais ikulu imetoa ufafanuzi na kueleza ukweli uliopo na kukanusha uongo ulioandikwa kwenye gazeti moja la hapa nchini. Ikulu imeeleza kuwa haihusiki katika ugawaji wa vitalu vya uwindaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimekukumbuka sana mzee wangu hasa siku ile uliposema mheshimiwa mwenyezi mungu...saidia mchakato wa katiba.....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, nimekutana na habari pamoja na picha from Ngowi. Kinachonishangaza ni vipi sherehe za chama cha ANC ki-prompt matumizi ya ndege ya serikali? Je ni nani karipia hizo gharama za kumsafirisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna fununu ya kuwa migogoro na habari mbalimbali inazushwa ili kupunguza mashinikizo ya serikali katika jambo fulani....tuliona wakati pinda kabanwa kuusu kudanganya Arusha yakazuka mabomu ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mkuu tumekusoma kwenye Tbc news jioni hii ukiendeleza ile sera yenu ya kutembelea wanachi' mkuu tumeshangazwa sana na uamuzi wako wa kuongea kiinglish na wananchi wanaoishi vijijini'hivi ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kwa sasa hakiwezi kuanza mbio za kusaka urais. Badala yake, kinatumia muda huu kujikita kutatua matatizo ya jamii yanayozidi kuongezeka. Pia...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya...
12 Reactions
93 Replies
9K Views
10th January 12 Mainland traders accused of evading tax in the Isles The Guardian Reporter Groundnuts and orange traders from Tanzania Mainland have been accused of denying the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Heri ya Mwaka Mpya 2012! Kitendo cha Wakuu wa Mikoa (RCs) na Wakuu wa Wilaya (DCs) ambao ni viongozi wa Serikali kuwa Wajumbe wa Kamati za Siasa za CCM katika ngazi husika, ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mstaafu EL amewasili Mkoani Kigoma hv punde. Amealikwa kuja kuendesha Harambee kanisa la PENTEKOSTE .............. Mengi Tutawajuza. UPDATE: Lowassa achangishia kanisa mamilioni...
1 Reactions
97 Replies
10K Views
Katika hatua ya kuhitimisha ufisadi , baada yakurejeshewa Wizara nyeti ya Miundombinu jana nimesikia John akisema wakati wa kusaini mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigamboni ya kwamba Rais Jakaya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)kitafanya mkutano wa Hadhara katika Shule ya Msingi Mkendo,katika mkutano huo wa Hadhara utakaohutubiwa na Meya wa Mji wa Musoma(Alex Malima)pia atakuwepo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
HALI ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza si shwari, baada ya kile kinachodaiwa Kamati ya Siasa ya CCM kumkataa Katibu wa chama hicho wilayani humo, Rahel Washa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana-JF, Nataka kufahamu ile ardhi ya chuo cha IFM iliyogawiwa kwa waadhirika wa mafuriko Jangwani, itarudi vp? Je maadili yalitumika katika kumshauri Mh Rais? Na je Rais ametumia mamlaka yake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania – Is UK aid fuelling corruption? Andrew Mitchell Secretary of State for International Development: “We take a zero tolerance approach to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika hali ambayo tayari inadhihirisha serikali ya tz iko hoi bin taaban na inaelekea kushindwa kujiendesha......imefahamika kuwa sasa serikali (kupitia BOT) inajiendesha kwa kukopa hela toka...
9 Reactions
118 Replies
10K Views
Wiki chache zilizopita Mwandishi/ Mchambuzi wa siasa Mayage aliandika makala akikiponda CDM kuwa si chama makini kutawala, na kuwa hawafanyi siasa bali harakati, na kushauri kuanzishwa kwa chama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom