Kigamboni Daraja Hiloooo!!!! Msimamizi Magufuli..Sasa je, Bado mtaandamana Aombe Radhi kwa Sh200???

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Jana kwa walioangalia Vyombo vya Habari, Mkataba wa kujenga Daraja na Kigamboni ni tayari na Linatakiwa kumalizika baada ya Miaka 3.

Anayesimamia ni Mh John Pombe Magufuli,na huyu huyu ndiye aliyewapa uchungu wa Sh 200, Sasa je kwa kazi hii ya Daraja, Heko kwake tena au bado tunaendelea kumbana?

Watanzania wanaandamana kwa sh200 na ubungo wanalipa hizo hizo,Mpaka na wabunge wanaopata Sh200,000 kwa mwezi wanawapooza wapiga kura kwa sijo la konyeza....
 
Hilo Daraja tangu enzi za Mkapa linasemwa tu, mpaka tuone ujenzi umeaanza ndio tutaamini, zaidi ya hapo :A S embarassed:
 
mbona kutangazwa kwa huu ujenzi umekuja ktk hali ya timing fulani? tutaongea ujenzi ukishaanza vinginezo inaweza kua kiini macho kwa sababu kwa bajeti ya mwaka huu sidhan kama kulikua kuna fedha kwa ujenzi wa daraja hili, ngoja tuone!
 
Hilo daraja limekuwa kweny drawing board kwa muda mrfu sana na watu mbali mbali wametoa michango yao. Mmoja wa waasisi wa NSSF kutoa fedha za ujenzi wa daraja hilo ni Kapuyal sasa huo ushabiki wa Magufuli kwa kila kitu wa nini. Sema Magufuli najua kufanya kazi kwa kutumia media ili kujiatia sifa binafsi hata kwa kazi ambazo ni mchangoa wa wadau wengi
 
mpaka tulione sio kutuletea ahadi za kijinga ni miaka 35 sasa ahadi tu kwa mujibu wa tbc habari jana saa 2 nit
 
Kumbe bado haujazijua siasa za tanzania ngoja nikukumbushe,unakumbuka shimbo alivyopata kasha ya trilioni 3? Si uliona kesho yake kwenye vyombo vya habari alivyopata airtime na mambo ya ufunguzi wa TMA mara kafanya hafla kibao na hili la magufuli baada ya kuarish.a ferry na kuchafuka kesho yake si umeona kapata airtime ya kutosha mara kafungua barabara mara kasign mkataba wa ujenzi hio ni danganya toto ya kumsafisha kwa umma ili wajinga kama wewe(sisemi mpumbavu kama wewe) wamuamin daraja hilo mchakato wake ulianza 1977 na pia ukaibuliwa tena 2003 na umesigniwa 2012.
 
Sasa King kong Wangu, kama kazi ikianza Then nani atakuwa Mjinga kati yangu mimi na wewe??? Let us sign an agreement on this....
 
Hilo daraja ni la kutafutia kura CCM 2015!!! Wabongo hawajawai on barabara ya juu hata moja sasa daraja Kigamboni ni mtaji tosha. Wewe kwa nini hushangai thread ya daraja kigamboni ilipoanza jana ilifungwa chapuchapu?? Wazee wetu wanapostaafu wanalipwa kiduchu wakati NSSF wanainvest kwenye miradi ya serikali. No wonder tayari PCCB wameanza kuwasafisha NSSF.
 
hiyo ni gheresha tu kuzima na kuswim media isiweze kuhoji Magufuli juu ya maswali ambayo Mnyika alivyomchambua magufuli na hata jibu mimi nakuambia maana ni bomu kwake na serikali ya JK.
Mkatataba wenyewe umesainiwa na wachina ,kwa magumashi walivyo mmh mimi simo.
wewe kama unataka kujua hizo hela zipatika wapi na kwa bajeti ipi.Sasa unaanza kusign contract,wakati sisi tunasifiwa kukuomba omba check hiyo link ndo ujuwe serikali yako inafanya nini sasa hivi
Tanzania – Is UK aid fuelling corruption? - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education

wewe Mageuzi kweli ,kama unataka change ,ujikite kwenye promise za hawa magamba ndo utakapojua mambo yenyewe
 
Hilo daraja limekuwa kweny drawing board kwa muda mrfu sana na watu mbali mbali wametoa michango yao. Mmoja wa waasisi wa NSSF kutoa fedha za ujenzi wa daraja hilo ni Kapuyal sasa huo ushabiki wa Magufuli kwa kila kitu wa nini. Sema Magufuli najua kufanya kazi kwa kutumia media ili kujiatia sifa binafsi hata kwa kazi ambazo ni mchangoa wa wadau wengi
Maghufuli anapewa sifa kwa USIMAMIZI, UFUATILIAJI na UTEKELEZAJI. WAzo kwamba daraja limekuwa kwenye drawing board muda mrefu linamwongezea sifa Maghufuli. Kwa nini sasa na sio wakati huo. Tunakaribia kutoka Mwanza kwa Bajaj hadi Mtwara.
 
Kwani anajenga kwa pesa yake ya mfukoni. HAta bila huyo mpuuuzi wengine watafanya tu.
 
GT/SR kiboko

inamaana wewe uko humu JF full time kumtetea kaka yako Dau tuu?

tunaelewa kuwa kwako NSSF hawakosei lakini sasa hii imezidi. Mtu gani usiyelala mtu huishi kubadili majina kukidhi haja yenu ya udini na hapo hujapewa huo ubunge kwenu Mafia!

Kha!
 
Tatizo la Magufuli ni lugha za kejeli na matusi. Swala la Daraja wanaweza kuleta nondo na mchanga wakapotea Tanzania full usanii
 
Hilo Daraja tangu enzi za Mkapa linasemwa tu, mpaka tuone ujenzi umeaanza ndio tutaamini, zaidi ya hapo :A S embarassed:
sio enzi za mkapa tangu 1970s enzi za mwalimu. ujenzi unaweza kuanza ukaishia katikati. tuunge mkono ujenzi fursa za kazi zipo sasa vijana tukabebe zege. maana tunaambiwa kumsukuma mlevi si lazima utumie nguvu nyingi.
 
Kwa busara ya kawaida kosa halisafishwi na jema lingine cha msingi mtu akiri na kuomba msamaa kwa kosa.Pia magufu ni kipenzi cha wengi na hakupaswa au kutegemewa kutoa lugha ya kashfa kwa watanzania ambao tuko kwenye lindi la umasikini unaoongezeka kila kukicha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom