Katiba na mahitaji yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba na mahitaji yetu

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by The dirt paka, Jan 10, 2012.

 1. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hatuna haja ya kubishana na mamlaka sana kuhusu katiba tunayoitaka ila la msingi ni kuomba KATIBA HIYO ITUACHIE UHURU WETU KATIKA DINI NA KUABUDU, bila kujali ni mamlaka ya nani/ipi/ kati ya watawala na wapinzani au umma imeamua katiba iweje.
   
Loading...