Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF; Reference: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/212896-friends-of-regia-kukutana-dsm-kumuenzi-regia-27-jan-2012-a-14.html Ukumbi: Tayari tumeshafanya Confirmation ya Ukumbi...
9 Reactions
263 Replies
16K Views
taarifa zilizo nifikia hivi punde ni kwamba madaktari wa ule mji wa wanaharakati wanapanga kukutana siku ya jumatatu kujadili mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.tusubiri tuone na kusikia.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
CCM imepanga maandamano sehemu mbalimbali nchini ktk kuadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa CCM (na kuzikwa kwa TANU na ASP). Kikwete ataongoza MWANZA. Maandamano haya yanaitwa "matembezi". Haya...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Habari kwamba baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi wanahusika katika wizi wa shehena ya mahindi tani 600 ambayo yalikamatwa yakivushwa mpakani kwenda nchi jirani katika wilaya ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hongera sana Mwakilishi wetu Mheshimiwa HAMZA kati ya wawakilishi wa Wazanzibar uliomakini na uliojivuwa katika mstari wa walioikosea Jamhuri huko nyuma, tunakupa heko kwa kuliona hili na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Published On: Sun, Jan 29th, 2012 Tanzania | Published On: Sun, Jan 29th, 2012 Former Kagera Regional Chama Cha Mapiduzi (CCM) Chairman, Pius Ngeze, has appealed to the government to start...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tutahakikisha A.H.Mwinyi & family yake wanaongoza msafara wa wazeNj wote kurudi kwao mchambawima. J.K vunja muungano , hauna faida kwa Watanganyika.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Taarifa hii nimeitoa kwenye ukurasa wa facebook wa KILEWO. CHADEMA Dar es salaam tumeathirika na mgomo unaoendelea wa Madaktari kwa kuondokewa na kiongozi wetu wa tawi la Banana ambaye alikuwa ni...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na kukuza uchumi...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZA GAZETI LA TANZANIA DAIMA OFISI YA WAZIRI MKUU imesikitishwa na habari...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kamati ya BUNGE ya ukaguzi wa fedha za serikali ikiwa na kamati ya hesabu ya mashira ya uma ilienda kukagua kazi wanavyofanya TBS huko Hongkong na kugundua hawana ofisi, pesa wanaweka mifukoni...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Leo kambi ya ccm jimbo la kibaha mjini imebomolewa baada ya wanachama zaidi ya 36,wakiongozwa na katibu wa kata ya maili moja MATHIAS MOHAMED MBOGO almaarufu (sufuria la CCM) waliporudisha kadi na...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakati mkuu wa kaya ameondoka huku hali ya nchi ikiwa tete baada ya madkari kugoma akiwa anahudhuria kikao huko ulaya waziri mkuu wa uingereza amempongeza kuwa serikali ya Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
akiwa anatoka korogwe msafara wake umepata ajali baada ya gari la polisi lililokuwa linaongoza msafara kushindwa kukata kona kwenye milima na kutumbukia kwenye shimo. bado haijajulikana kama kuna...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Bila ya Wz’bar kutokuwa na imani na Raisi Shein , nilazima amuwajibishe haraka sana Ali Juma Shamuhuna kuendelea kushikilia wizara nyeti alionayo kabla ya kuleta asari zaidi.Written by Hassan10...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani tunaomba mwenye update na mgomo wa madaktari atujuze humu jamvini naomba kuwasilisha
0 Reactions
437 Replies
37K Views
Mimi siamini kama kuna uwezekano wa kiongozi mzuri kutoka CCM. JK alikuwa chaguo la wengi na wengi tulimpenda ila baada ya JK kutuangusha kwa jinsi tulivyoweka matumaini kwake sioni kama kuna mtu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Siasa za tanzania zinamezwa na vyama viwili CDM na CCM, kuna wakati vyote vinakosea na watz wangetamani mawazo nje ya vyma hivi viwili vikubwa nchini. Ukifanya uchambuzi vyama kama cuf,tlp,udp ni...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiondoka Chakechake baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa muda wa wiki 2 sasa kumekuwa na mgogoro kati ya serikali na madaktari. Serikali inatuhumiwa kukimbia mjadala na wanataaluma hao kiasi cha viongozi wa wizara ya afya kufungiwa mlango wa mjadala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom