Asilimia themanini ya watahiniwa kidato cha nne walipata daraja sifuri na la nne jk anapongezwa

mgheni amani

Member
Jun 21, 2011
29
3
Wakati mkuu wa kaya ameondoka huku hali ya nchi ikiwa tete baada ya madkari kugoma akiwa anahudhuria kikao huko ulaya waziri mkuu wa uingereza amempongeza kuwa serikali ya Tanzania :embarassed2:imejitahidi kwenye maswala ya elimu mh imenishangaza kidogo hapa mawili kama waingereza hakuna wanachokitaka kwetu basi waziri mkuu wao ni bomu sana au wanamkejeli raisi wetu na kupima uwezo wake ni mwaka jana tu wanafunzi wetu wa kidato cha nne kwenye matokeo yao aslimia themanini kati ya waliofanya mtihani walipata daraja sifuri na la nne! Wenzetu Rwanda matokeo ya mwaka huu yaliotangazwa wiki iliopita shule za vijijini zimefanyavizuri kuliko za mjini hawa ndio watu wa kupongezwa
 
Siku zote wazungu uwa wanamsifia kiongozi ***** ili waendelee kunufaika naye,na wataendelea kumsifu sana ndugu yangu.
 
Na jinsi tunavyopenda sifa! Basi watu watabaki kuchekacheka tu kwa sifa za uongo huku wazungu wanaendelea kuvuna nasi tunabaki na mashimo matupu! Tukishtuka hatuna chochote tunawafuata kuwaomba misaada! Phweee!
 
Haelewi jamani
kuwa anapongeza nini,
kama kawaida yake
kapewa majibu feki
hahahaaaa.
Huyu bora angekuwa raisi wa bendi km
akudo
akademia
jahazi
si wa nji lol
 
Back
Top Bottom