Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

Jul 14, 2008
1,820
1,028
Wana JF;

Reference:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/212896-friends-of-regia-kukutana-dsm-kumuenzi-regia-27-jan-2012-a-14.html

Ukumbi:
Tayari tumeshafanya Confirmation ya Ukumbi British Council kuanzia saa 11 Jioni hadi Saa 3 Usiku.

Muda:
Saa 11.00 - 1.00 Jioni - "Marafiki Wa Regia" Meeting.

Agenda: "Regia alisimamia nini na Nini Kifanyike Baada ya Regia Kututoka"

Saa 1.00 - Saa 3 Usiku - "Marafiki wa JF Meeting". NB: Hii haihusishi JF kama uongozi bali ni wale watakaopenda kukutana na kuongelea mambo mbalimbali mfano: JE SACCOSS, anything about JF Forum as members na mawazo yoyote ambayo kama kuna umuhimu yanaweza kufikishwa kwa uongozi wa JF..

Gharama za Ukumbi:
Auditorium Fees ni TZS 630,000. Vinywaji na Bites kwa watakaohitaji vitanunuliwa siku hiyo hiyo kutokana na utakachopenda kuagiza kutoka Steers. Mchango kwa sasa hatujui ni kiasi gani, ila ni vema mchango wako usaidie kurudisha gharama za ukumbi. Mfano kama wakija watu 100, then kila mtu atatoa mchango wa 630,000/100 au TZS 6300. kama idadi itaongezeka amount itapungua na kama idadi itakuwa ndogo amaount itaongezeka.

Kutambulishana:
Haushauriwi ujitambulishe kwa ID yako ya JF na wala kutumia Internet au kuweka mazingira yoyote ambayo yeyote anweza kujua wewe ni nani JF. Unaweza kufanya hivyo tu kwa mapenzi yako na bila kulazimishwa.

Utaratibu wa Mkutano:
Interactively: kila mwenye hoja apate nafasi ya kuongea. Kutakuwa na mtu maalumu atakayekuwa anarusha JF na skype live. Tafadhali tumia muda wako vizuri. Be very brief, focused and to the point ili na wengine wapate nafasi.

Waliopo JF wanaweza kushiriki kwa kupost katika thread maalumu zitakazoanzishwa JF moja ya "Marafiki wa Regia" na baada ya kumalizika ya "Marafiki wa JF".

Walioko skype: pia watashiriki kwa kupost katika skype IM. Kwa atakayetaka kuongea kutoka skype ataaandika katika Skpe chat kuwa anataka kuongea. Tutampigia Voice Call kwa Skype na kisha kumuunganisha kwenye PA System ili asikike na Audience atakapokuwa anaongea.

Waliothibitisha kushiriki kwa kuhudhuria British Council ni:

1. Sanctus Mtsimbe
2. Maxence Melo
3. Josephine Mshumbusi
4. The Finest
5. Jason Bourne
6. Feis Buku
7. MwanajamiiOne
8. Mani
9. Pasco
10. JF Marketer
11. Twinky
12. El toro
13. LD
14. MwaJ
15. Petu Hapa
16. Marhaba
17. Gerrard
18. Jiwe la Ukara
19. Usininukuu
20. Mchaga 25
21. Mkono
22. Froida
23. Mabagala
24. Akellei
25. Uwezo Tunao
26. ZumbeMkuu
27. Teamo
28. Mchuzi wa Bata
29. Smile
30. Rejao
31. Popiexo
32. Matola
33. Tall
34. Obsesd

Waliothibitisha kushiriki kwa nja ya Skype Video/Voice Conference ni:

1. Nyani Ngabu - skype
2. AfroDenzi - Skype
3. Mrembo by Nature - Skype
4. Pretty - Skype
5. Lizzy - Skype
6. Duduwasha - Skype
7. StraaKasyembe - Skype
8. Mbimbinho - Skype
9. Clemy - Skype
10. Ritz - Skype
11. Barubaru - Skype
12. Mkatofa - Skype
13. Smilling Saint - Skype
14. Tiba - Sype
15. Zion Daughter - Skype
16. Gango2 - Skype
17. Yo Yo - Skype
18. Mbimbinho - Skype
19. Mwanakijiji - Skype
20. Peter Rabachi - Skype
21. Filipo na JF Arusha - Skype
22. Otis - Skype
23. Pretty - Skype
24. Michelle - Skype
25. Belinda Jacob - Skype
26. Balantanda - Skype
27. AshaDii - Skype
28. Dena Amsi - Skype
29. Ta Muganyinzi - Skype
30. Edson - Skype
31. Nyandaigobeko - Skype

32. Mussa Mutagaiwa - Skype

Maoni ya kuboresha yanakaribishwa. Pia wanaopenda kuthibitisha kushiriki kwa kufika British Council au katika Skype wanakaribishwa kufanya hivyo katika thread hii.

ID ya Skype kama utapenda kui-add ni: jamiiforums
 
Mpaka sasa waliounganishwa katika Skype wako 42. Chat inaendelea hata sasa. Ni 24X7 kama JF. Subject: Regia
 
Mimi cha kuongeza tu ni moja.

WanaJF wa Dar es salaam naombeni iwe mwanzo wenu wa kukutana na hata kutambuana kwn ni muhimu sana

Na hata hivyo makutano hii ni muhimu sana kwa WanaJF tuliomarafiki wa Mpendwa wetu Regia.

Sina shaka hata kidogo lakini kwa kuwa wengine tupo Mkoani ninachomba ni kwmb hakika tupo pamoja ktk hilo mnalotarajia kufanya la muhimu sana.
Tunawatakia changamto nzuri na yenye kufikia maamuzi mazuri na bila shaka hata nasi huku tulipo tutakuwa on line muda wenyewe ukifika!

Sina mengi jamani zaidi ya kuwatakieni kila la Kheri pale mtakapoanza na mpk mmalize salaama!

LiverpoolFC Arusha Member!
 
Liverpool FC, tunashukuru sana kwa maneno yako mazito na ya kutia moyo.

Hakika nyie ndugu zetu wa Arusha mkiongozwa na kamanda PakaJimmy mmekuwa ni mfano wa kuigwa na mmetoa changamoto kubwa.

japo hapa DSM baadhi wanafahamiana hasa wale wa MMU lakini hatujawahi kuwa na kusanyiko la wana JF.

I hope wengi wataitikia mwito.
 
Hiyo mikutano isiishie kwa Regia, bali iwe mwendelezo wa kushirikiana na kujenga ujamaa wa pamoja. Mungu awabariki sana wana jf dar, mtuwakilishe tulio mikoani. Vp FF hatashiriki? Namuwaza sana huyo mama, ukizingatia mimi na wamama wanaovaa vile ni dam dam! Infact I truly love Faiza Fox.
 
Malaria Sugu and Rev Fr Masanilo uso kwa uso ndani ya British Council! Nasikia wameogopa ku confirm kuhudhuria ili wasikimbiane!
 
Duh General bana!

Haya FF atakujibu mwenyewe. Mambo ya MMU hayo na Chit-Chat!
 
Malaria Sugu and Rev Fr Masanilo uso kwa uso ndani ya British Council! Nasikia wameogopa ku confirm kuhudhuria ili wasikimbiane!

Duh,

Unajua hao ndo Macelebrity wa JF. majina makubwa hayo yakiambatana na yale ya:
Mwanakijiji
Invisible
Malaria Sugu
Rev. Masanilo
Maria Roza
Faiza foxy
MwanajamiiOne
nk
nk

I hope kama watakuja watashindana kwa hoja katika kujenga na si kubomoa.
 
Nasikitika siwezi kujichanganya hata nanyi. Nipo Arusha na nadhani kwa kupitia thread hii uongozi wa JF Arusha wanaweza kupanga tukutane that day na laptop yetu halafu tukaungana kwa skype. Nadhani kwa namna hiyo tunaweza kushiriki. Nasubiri niwasikie!

Otherwise, nawatakia kila la heri maana na mimi ni friend of Regia.
 
Mkuu wangu Filipo

Kama hilo la nyie kuungana nasi katika Skype litawezekana, then JF kwa mara nyingine tena itakuwa imeweza kuwaunganiasha members kwa njia ya nje ya forum.

may be kwa njia hii watu wanaweza wakaongea mara kwa mara katika mambo muhimu na si lazima wawe Bitish Council bali kwa kutumia Voice Call au Video Call.

I hope tayari mna ID ya Skype na ni matumaini yangu kuwa tutakuwa wote.

PJ: Wapi Kamanda?
 
Duh,

Unajua hao ndo Macelebrity wa JF. majina makubwa hayo yakiambatana na yale ya:
Mwanakijiji
Invisible
Malaria Sugu
Rev. Masanilo
Maria Roza
Faiza foxy
MwanajamiiOne
nk
nk

I hope kama watakuja watashindana kwa hoja katika kujenga na si kubomoa.
Kuna vichwa ni bahati kukutana navyo ukiwemo wewe! Si ya kukosa kabisa.Kuna platform ni nadra kuipata hivyo ni nafasi ya pekee sana kukutana na vichwa vinavyotikisa nchi kwa hoja nzito.
 
huenda nitakuwepo, siku hiyo naweza kuja na mchango wangu au mchango lazima uwasilishwe kabla?

Zumbe Mkuu,

Unaweza kuja na mchango wako siku hiyo.

NB: Mchango ni hiari ya mtu. Unaweza kutoa zaidi au kama huna ukatoa kidogo au ukashindwa kutoa kwa sababu za msingi.

Muhimu zaidi ni Wadau kufika, kuungana na kuongea hoja nzito za kumtoa nyoka pangoni ambazo zimejenga kuboresha.
 
Kuna vichwa ni bahati kukutana navyo ukiwemo wewe! Si ya kukosa kabisa.Kuna platform ni nadra kuipata hivyo ni nafasi ya pekee sana kukutana na vichwa vinavyotikisa nchi kwa hoja nzito.

Haaaa haaaa Mkuu, katika vichwa vya JF zaidi ya 60,000 sidhani kama nina hadhi hiyo maana sina mchango sana hapa JF.

Nimekaa kiutendaji zaidi kama nikipewa task basi huwa nafurahia kuifanya. Wacha tuwape sifa wale wanaostahili.

Respect sana.
 
Zumbe Mkuu,

Unaweza kuja na mchango wako siku hiyo.

NB: Mchango ni hiari ya mtu. Unaweza kutoa zaidi au kama huna ukatoa kidogo au ukashindwa kutoa kwa sababu za msingi.

Muhimu zaidi ni Wadau kufika, kuungana na kuongea hoja nzito za kumtoa nyoka pangoni ambazo zimejenga kuboresha.
dah! basi mkuu mie nilikuwa nafikiria kutoa kamchango kidogo nkahisi ntaaibika nisije kabisa kumbe kamchango kangu kanatosha? ntakuja mkuu, nilijuwa watu wanaanza kuchangia kuanzia kilo 1 aisee.
 
..........Vp FF hatashiriki? Namuwaza sana huyo mama, ukizingatia mimi na wamama wanaovaa vile ni dam dam! Infact I truly love Faiza Fox.

Bora hata haupo Dar maana ungekutana nae usingefanya lililokupeleka ila ungeishia na yako! Hukawii kubadili mada/agenda na kutuchanganyia habari.

.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom