ccm kuandamana tarehe 5 Feb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm kuandamana tarehe 5 Feb

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tenende, Jan 29, 2012.

 1. t

  tenende JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CCM imepanga maandamano sehemu mbalimbali nchini ktk kuadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa CCM (na kuzikwa kwa TANU na ASP). Kikwete ataongoza MWANZA. Maandamano haya yanaitwa "matembezi". Haya hayatishii amani ya nchi kwakuwa yanapongeza watawala na tena wakubwa nao wanashiriki. Virungu vya polisi na maji ya kuwasha hayatatumika!.. Habari za kiintellijensia hazitakuwepo wala "AL-SHABAB" hawanusi - Mkileta ya DOWANS - Al shabab hata leo na muda mwingine wote wapo!. Virungu vipo, mabomu ya machozi yapo, maji ya kuwasha yapo, na tetesi ya amani ya nchi kuvurugika itakuwa masikioni mwa kila mwana usalama unayemjua na usiyemjua.:lol::lol:
   
 2. M

  MPG JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbwa hawa CCM wanatumia makamasi na makalio kufikiri badala ya ubongo akili wamefungia kabatini,wanajipongeza kwa kuiba mali za watanzania!
   
 3. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Source plz
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Waache waandamane na Chadema watafuata kwa kigezo kile kile .JK Mwanza ? Duh nilidhani ataenda Mbeya au Arusha .
   
 5. mbwigule

  mbwigule JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tumethubutu (kuwaibia kuanzia madini, nyara za taifa hadi kuuza nymba mlizoziita za serikalina, kuwanyanyasa na kuwadumaza kimaendeleo) tumeweza na tunasonga mbele! Semeni mchana, lakini usiku mtalala; si mnajionea wenyewe....? Tupo Davos! Chama cha Mafisadi....arrgh sorry Mapinduzi Hoyeeeee!
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ni maandamano au matembezi? Kwa ccm kufanya maandamano labda ya kumpongeza kwa safari yake ya Davos maana ndo wanalolijua
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nini tofauti kati ya maandamano na matembezi ya aina hii kama vipi Chadema nao wabadili jiana na kuwa tutafanya matembezi nchi nchi badala ya maandamano nchi nzima
   
 8. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Gamba linaloitwa Ritrz bado halijatia mkono hapa...linakuja...hilooo..hilooo...pigaaaa!
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni vema pia hayo maandamano yaandamane na maneno "BYE BYE CCM" kwa sababu baada ya hapo, CCM WILL BE NO MORE so watoe mkono wa kwaheri kwa wana kanda ya ziwa japo huko ilishazikwa siku nyingi!
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli hii serikali imeoza au inaongozwa na midogi koko, watanzania tumezuiwa kuandamana wala kufanya matembezi kisa alshahabab, mara habari inteligensia, upuuzi mtupu, tunatawaliwa na mambwa koko, yalojaa wivu pia uoga, kwani yanaogopa maandamano against ccm madog koko yatatisha, natmai cdm wahoji kwanini maandamano pia matembezi yao yanazuiwa ya na polisi wakati ya ccm magamba yanaruhusiwa, au na wao cdm waombe kuongea na wananchi ikitanguliwa na maandamano pia matembezi, nawachukia sana polisi vibaraka
   
 11. S

  STIDE JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Watavuna aibu ya mwaka!!
   
 12. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kunya anye KUKU, akinya BATA wanasema amehara.
   
 13. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Kuna siku idara ya polisi watajibika au watavuna wanachokipanda leo, upendeleo wao dhairi kwa chama tawala ni baadhi ya vitu pia mambo yanayotuchefua kwani huu ni upendeleo wa wazi wazi kwa mafisadi wa ccm.
  Nawaomba ili kulinda credibility ya jeshi letu la polisi wasiruhusu matembezi pia maandamano aya ya ccm, vinginevyo wajue watakuwa wananachangia ongezeko la hasira pia chuki za watanzania dhidi ya chama tawala kinachoongozwa na idadi kubwa ya mafisadi wa nchi hii.
  Leo tunalazimika kuamini kuwa jeshi letu la polisi ni muhimili mlinzi mkubwa wa mafisadi
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wameshapata kibali, Taarifaza kinteligensia je, alshabab je? Ubwabwa upo?
   
Loading...