Wakilishi wa BLW wamuunga mkono Jussa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakilishi wa BLW wamuunga mkono Jussa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHIBUU, Jan 28, 2012.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Mwakilishi wetu Mheshimiwa HAMZA kati ya wawakilishi wa Wazanzibar uliomakini na uliojivuwa katika mstari wa walioikosea Jamhuri huko nyuma, tunakupa heko kwa kuliona hili na tumekuelewa na heshima kubwa kwako kwa kuona mbali ambapo sasa tunaliona lile wewe uliliona mapema! WAZANZIBAR TUSIKUBALI KUGAWIKA KATU, ZINDUKA MZANZIBAR Shttp://www.youtube.com/watch?v=ZrgAZYqtCtY&feature=youtu.beASA SIO HALAFU!
   
 2. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkiendelea na umoja huu mtapata faida kubwa zenj..

  Lakini angalizo watanganyika wakristo hawataki kabisa umoja wenu ..kazi kwenu

  Watashirikiana na wanafiki usiku na mchana watie dosari
   
 4. Hagga

  Hagga Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna watu wanaitwa watanzania wakristo??, wanaishi mkoa gani??
   
 5. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  This is rediculous! I cant comment.
   
 6. Jembajemba

  Jembajemba JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2007
  Messages: 257
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  zanzibar tuwe kitu kimoja tutashinda hii dhulma
   
 7. Jembajemba

  Jembajemba JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2007
  Messages: 257
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio lazima u-comment hapa nenda thread nyengine uka-comment - nani kakwita???
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ​kamkoa ka zanzibar kanamatatizo sana, narudia tena zanzibar sio nchi ndio maana nyerere alimkamata mkuu wao wa mkoa Abdul jumbe na kumuweka kazuizini
   
 9. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar sio nchi
  Ni sehemu ya Tanzania
  Wana wimbo wa Taifa kama shule za sekondari
  Wana bendera kama timu ya Simba
  Wana Rais kama ilivyo kwa Miss Utalii
  Wana baraza la mawaziri kama ilivyo kwa serikali za wanafunzi ............
   
Loading...