Kukimbia kivuli chako inamaana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukimbia kivuli chako inamaana gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oba, Jan 28, 2012.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa muda wa wiki 2 sasa kumekuwa na mgogoro kati ya serikali na madaktari. Serikali inatuhumiwa kukimbia mjadala na wanataaluma hao kiasi cha viongozi wa wizara ya afya kufungiwa mlango wa mjadala na nafasi hiyo kupewa ofisi ya waziri mkuu. Mchezo ule ule unaendelea na ofisi ya Pinda; kukimbilia vyombo vya habari na kuwakwepa wanataaluma hao. Nimesikia Pinda amewaita kesho jpil pale karimjee wakati wao wanafanya vikao vyao pale star light hotel na wamepanga kukutana jtatu swali ni je atawapata hiyo kesho? tena kwenye ukumbi wake wakati wao ndo walimwita pale starlight hotel? na je pinda mzee wa mchozi atakuja na majibu ya hoja zao au atakuja na machozi? NINA MASHAKA NAA HIYO MOVE!
  Nawasilisha!
   
Loading...