na kama JF si mahapa pa kuwasilisha malalamiko yao sijui yapelekwe wapi
na kama Jukwaa la siasa la JF ambalo ni maarufu kuliko yote na ambalo wanasiasa wanakuja kusoma zaidi si mahala pake then...
Nchi hii imekuwa ya kisiasa zaidi. Kila kukicha, kila kona watu wanajadili siasa. Ndani ya basi umezuka ubishi huu. Je. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni lazima awe mbunge? Au...
Nakumbuka haya maneno ya EL "Fanyeni maamuzi, ni bora kuamua kuliko kutoamua" ukitafakari vizuri mgomo huu usingetufikisha pabaya kama ilivyo sasa. Viongozi wa serikali ndiyo hasa wakulaumiwa kwa...
Hivi karibuni kumekua na ukaguzi wa mashirika ya umma unaofanywa na kamati ya bunge. Ni kweli kwamba kamati hizo zimefanikiwa kuibua madudu mengi ndani ya mashirika ya umma. Kwa mfano swala la...
Angalia mfano huu mwajiri amepewa uwezo wa kumkataa mfanyakazi wake mahakamani hataka mfanyakazi huyu ameshinda kesi.
Natumaini mleta mada alikuwa anarejea kwenye Section 40 ya The Employment and...
Madaktari wanagoma sasa, wanagoma wakiwa na madai ya msingi mikononi mwao. Lakini wakati mgomo unapamba moto, roho za raia na wananchi ziko mashakani.
Juhudi za serikali kutatua mgogoro huo na...
Mwenyekiti wa madaktari dkt stephen ulimboka ametishiwa usalama wake kwa njia ya sim na mtu aliyejitambulisha kuwa ni ofisa toka ofisi ya waziri mkuu kuhusu sakata la mgomo .
Pia... Mwenyekiti wa...
Kwa kifupi toka amekuwa mbunge huyu jamaa(Amos Makalla)hakuna kinachoendelea katika jimbo hili project ya barabara ya lami magole-Turiani inasusua,yaani kwa kifupi wananchi tunamkumbuka sana...
Ex Africa simper aliquid novi". Maana yake: "Kila kukicha kitazuka kioja kingine Afrika."- PTOLEMY, mwanafalsafa wa Kiyunani alipata kuandika:
Ndugu zangu,
Wakati mwingine unapotazama...
Wanajamvi,aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa wilaya ya ilemela wa CUF Hapa Mwanza,ambaye yuko kambi moja na HR na ambae mwishoni alhamisi ya wiki iliyopita amaetangaza kujiondoa CUF na wanachama zaidi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hakuna mgomo unaoitishwa na wafanyakazi ambao unawagawa wananchi mara moja tena kwa ukali kama mgomo wa madaktari. Mara moja mgomo wa madaktari unapoitishwa pande mbili...
TEHRAN, Iran Irans official news agency reports that the head of the state oil company is claiming that the price of crude will go up to $150 per barrel.Head of the National Iranian Oil Company...
Written by Ahmed Omar Khamis // 28/01/2012 // Habari // 14 Comments
Tibaijuka amepotoka
Nimeona kuna haja ya kutoa maelezo mafupi kuhusiana na Hoja ya Kujadili Jambo la Dharura...
Ndugu wasonaji inashangaza sana kuona watu wanawalaumu madaktari kwa kugoma.
Chanzo cha huu mgomo na hata migomo mingine kama ya wafanyakazi wa TRL na vyuo vikuu ni ubaguzi wa serikali ya ccm...
Taarifa nilizozipata makao makuu ya TANESCO - UBUNGO mita hazipo. Zilizopo ni second hand zilizonunuliwa Korea na Mzabuni aliyepewa dili na Ngeleja. Aliyeshinda tenda hakupewa, akapewa ambaye hata...
Habari Mama Tibaijuka,
Kuna vigogo wa serikali wanamiliki ma-estate bila kuendeleza na kutuachia mapori tu, sheria ya ardhi inasema mtu akimiliki eneo kwa miaka mi3 bila kuendeleza...
Ni mwezi sasa tangu wanafunzi wa chuo cha mipango wachague rais wa kuwawakilisha katika serikali ya wanafunzi yaani (MISO) katika uchaguzi huo uliokuwa umejaa kila namna ya vimbwanga kwani hadi...
CCK ufufuo wa CCJ kimepata usajili baada yakukamilisha taratibu zote.....Hongera sana Bw.Akitanda kwa kukifikisha hapo.Angalizo,ogopeni sana mafisadi wasiwatumie katika harakati zao !!!!!!
Kwakuwa watoto wao wanakwenda hizo St nini sijui na Academy gani sijui hili kwa Waziri hawoni shida kulitamka kwenye majukiwaa na kugeuka kuwa sera. Hawa ni wengi na wakishindwa kumudu elimu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.