CHADEMA kesho kutoa takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo, Dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kesho kutoa takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo, Dar es salaam

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by arusha 1, Jan 27, 2012.

 1. a

  arusha 1 Senior Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]Taarifa hii nimeitoa kwenye ukurasa wa facebook wa KILEWO.

  CHADEMA Dar es salaam tumeathirika na mgomo unaoendelea wa Madaktari kwa kuondokewa na kiongozi wetu wa tawi la Banana ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa tawi hilo Bw Benard kiwele. kamanda alipata ajali ya piki piki na kukimbizwa hospital ya Muhimbili na kukosa huduma za kimatibabu hivyo kumpelekea kupoteza maisha usiku wa kuamkia 26/01/2012.

  CHADEMA Kanda maalum ya Dar es salaam tunatoa pole kwa familia zote zilizopoteza ndugu zao kwa mgomo huwo wa madaktari uliyosababishwa na uzembe wa serikali ya CCM kushindwa kutimiza wajibu wao katika kuwalipa watumishi hawo. Siku ya kesho kwenye mkutano wetu wa hadhara utakaofanyika kigogo Tutatoa tamko Rasmi la Chama kanda hii ya Dar es salaam kuhusiana na mgomo huwo na athari zilizojitokeza mpaka sasa. japokuwa madai hayo ya msingi tulikwisha yasemea kwa muda mrefu kupitia kwa katibu wetu mkuu Dr Slaa juu ya athari zitakazo jitokeza kutokana na migomo mbalimbali inayoendelea hapa nchini......... mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema..... amen[/h]LikeUnlike · ·Unfollow PostFollow Post · Share · 18 minutes ago
   • [​IMG] Brian Lemnge R.I.P 14 minutes ago · LikeUnlike


   • [​IMG] Salvatory Mkami R.I.P KAMANDA 13 minutes ago · LikeUnlike


   • [​IMG] Ben Bravo 'Junior Hii inasikitisha sana kwa nchi iliyoweza Kuthubutu, kuweza na kusonga mbele.
    Poleni sana makamanda wote wa CHADEMA. Tupo pamoja kwenye janga hili. 12 minutes ago · LikeUnlike · [​IMG] 1


   • [​IMG] Dionis Bundara RIP. 10 minutes ago · LikeUnlike


   • [​IMG] Evelyne Meena Damn Ccm kipofu,R.I.P kamanda wetu tutakukumbuka daima. 9 minutes ago · LikeUnlike


   • [​IMG] Anass Al-Barwani poleni sana kw msiba na kw uzeembe w hali ya juuu 9 minutes ago · LikeUnlike

   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwani CHADEMA ndiyo Serikali au Daktari mkuu mpaka mtoe takwimu za vifo vilivyotokana na mgomo? Au tuamini kwmaba ninyi ni miongoni wa makundi yaliokuwa nyuma ya mgomo huo?
  Hamna hata haya, yaani mnakuwa kimbelembele kutoa tamko kwa jambo ambalo mmelianzisha ninyi? Acheni siasa za mauaji.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CDM bana kweli mazuzu kweli , mtu amejifia kwenye ajali mnaisingizia muhimbili eti kwa sababu ya mgomo wa madaktari. Unafiki wenu huu utawafikisha pabaya

   
 4. a

  arusha 1 Senior Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwasababu mkiumwa mnakimbilia INDIA NA ULAYA ndiyo maana mnaona hakuna sababu za msingi za kulipa madeni hayo, mungu ataendelea kuwaumbua mchana kweupe
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ww nani amekukataza kwenda india ? acha wivu wa kike.

   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Nataka kujua tu; hivi katika hali kama hii ni nani anawajibika kutoa taarifa za maafa manake mtu anaweza akakurupuka kutoa taarifa kumbe akavunja sheria!
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Sijaona mahali walipotamka kuwa watatoa takwimu zaidi ya kutoa TAMKO RASMI la Chama, kwa kanda yao.

  Tuonyeshe arusha 1 wapi hapo palipoandikwa ujumbe sawa na kichwa cha post hii, vinginevyo wewe ni mzushi.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  madaktari watatoaje takwimu wakati hawakokazini? Na serikali ya ccm itatoaje takwimu wakati wao ndo chanzo cha vifo vya ndugu zetu?
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ETI GENIUS BRAIN! Kazi kwelikweli
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Tukisubiri serikali itoe takwimu za vifo ilivyovisababisha kwa uzembe wake na sera zake za uuaji hatutapata kabisa taarifa hiyo,vyanzo huru acha viseme ili tujue janga tulilo jitakia kuipa CCM serikali
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama serikali ya magogoni haitaki kuongea basi wajue kuwa serikali mbadala huku uraini itaongea. Very simple. Na hapa hakuna wa kumlaumi zaidi ya serikali ya magogoni wenyewe. Kila wizara ina afisa habari wanafanya nini? Ingekuwa jambo la maana zaidi kama waziri kivuli wa afya angeita waandishi wa habari na kutoa tathmini ya madhara ya huu mgomo.
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Tumeshazoea matusi yenu enyi magamba;lakini mwisho wenu u karibu
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ni chama pinzani ambacho kunakiongoza chama kilichoko madarakani kwani uamuzi unaofanywa na chadema lazima ccm watekeleze na sasa wanawapa takwimu ambayo wao hawezi kuijua ndo maana wanashindwa kutekeleza madai ya hao madaktari
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Onyesha busara zako kwakuficha upumbavu wako sasa hapo kati ya serikali na cdm na wewe nani zuzu?
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ashaanza kuwaumbua si unaona washaanza kutoana roho wenyewe?
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwangu wewe unabonyeza tu keybord kwavile si garama na haitumii nguvu ndo maana unaandika uharo unaojisikia pia nadhani hizi kauli zako ni kwavile bado unafugwa ndo maana unakuwa na kiburi namna hiyo ngojea uanze kujitegemea usipofyata mkia
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa serikali ya magamba hawana hilo ingekuwa ni kujitangazia ongezeko la posho kwa wabunge bi kiroboto ashakurupuka teyari
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mshauri abadilishe aandike kilaza wa mwisho ndo litakalo mfaa
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Wauaji ninani CDM au serikali yako umesoma taarifa vizuri kweli hebu rudia tena???????

   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ushafika hawa wamebaki kutapatapa habari yao iishe
   
Loading...