Madaktari wa mji wa Arusha wapanga kukutana Jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wa mji wa Arusha wapanga kukutana Jumatatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jan 28, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  taarifa zilizo nifikia hivi punde ni kwamba madaktari wa ule mji wa wanaharakati wanapanga kukutana siku ya jumatatu kujadili mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.tusubiri tuone na kusikia.
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Duh!! Mkuu wa Mkoa huo kasafiri au wamesahau kwamba atawafuata majumbani na FFU kuwapiga ?
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kikao cha awali kinadelea
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu hawajagoma bado bali wanakutana
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Yeah tuko pamoja
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  MUNGU akitujalia baada ya Church tu

  nitakwenda pale Mount Meru Hosptal then,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
  Ntawajuza!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa RPC apeleke polisi na hapo

  Madaktari wamefanya walichoshindwa walimu... kudos
   
 8. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  kazi ipo kama vipi wagome tu...
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :juggle:Twafa, tatizo ni nini, mbona kama hakuna uongozi hivi?
   
 10. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndo unatambua leo? Sasa ni mwaka wa 7 tumeuanza bila kuwa na uongozi!
   
Loading...