Nimewaangalia viongozi wetu watano wa Afrika wakiwa na Gordon Brown kwenye mjadala wa Uchumi huko Davos, nimeishiwa na nguvu kabisa ya kuamini kwamba hawa viongozi wetu wa Afrika wanao uwezo wa...
HR rudi ccm ugombee wawi, utashinda na umaarufu wako utaendelea, ukienda any other party ndio MWISHO WAKO KISIASA. Rudi nyumbani ni nyumbani, watakuita mwana mpotevu, na kagombe Wawi kupitia ccm...
Kuna taarifa kwamba maandamano makubwa ya wananchi wa zanzibar ya kuunga Mkono hoja ya Jussa aliotoa baraza la wawakilishi ili kuonesha Umoja na Mshikamano
Mzee Abdul Jumbe aliandika vizuri sana kuhusu serikali tatu, kunamwenye nakala ya hicho kitabu? hofu yangu CCM wamekificha ni watu wachache sana wanacho, so kama tunaweza kupata soft copy.
Kumekuepo na mabishano kati ya baadhi ya viongozi wa cuf na mbunge wa Wawi mhe Hamad Rashid,wakati mmoja hamad akidai chama cha cuf kimekufa bara,viongozi wakisema hakijafa.Huku maalim seif...
Ndugu wadau kwa muda mrefu viongozi wetu wmekuwa wakitumia neno "Mtanzania wa kawaida" kila walalamikiapo jambo lolote la hovyo linapotokea hapa Tanzania Mifano: Mfumuko wa bei wanaseama...
Wakati ikijiandaa kuchukua nchi 2015,ni vyema sasa CDM ikaanza kuweka mikakati madhubuti ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya wabunge.Jimbo la sengerema nalo tumechoshwa na ulaghai wa chama...
Gazeti laTanzania Daima la jana, Jumatano, Januari 25, 2012, kwenye ukurasa wake wakwanza limechapisha habari yenye kichwa cha habari, Ndege ya JK utata:Iko nje kwa miezi miwili. Serikali yakwama...
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CDM) leo kitakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara hapa Kibaha mkoani Pwani. Lengo la mkutano huo ni kutoa elimu ya uraia kuhusu Katiba,kuingiza wanachama wapya na...
Najua wapo watu hii hawatapenda kuisikia zitto alihusika kwa kiasi kikubwa kufanikisha hili....lakini ndio hali halisi,lazima tuiseme .
Wadau mi nadhani baadhi yetu wakati umefika sasa tubadili...
Kitendo cha serikali kuendelea kupuuza mgomo wa madaktari na hatimaye nduguzetu kupoteza maisha ni kwamba kweli hawana fedha au hawana uchuungu na watz?Ifikie mahali serikali itenganishe SIASA NA...
Nilikuwa napitia Koments za hawa waingereza nikaliona hili hapa na kuamua kushare nanyi. Je ni kweli 15% ya uongozi Tanzania ni wa kurithi? Na kama wamerithisha je ni nani hao walorithishwa...
Tanzania ni Nchi ambayo ina rasilimali nyingi za kutosha kabisa kuendesha watu wake ambao ni karibu milioni Arobaini na na Nne hivi na ikawa na maendeleo ya kutosha na kila kitu kikakaa katika...
Ikumbukwe kuwa hili suala lilianza kwa interns waliofukuzwa muhimbili kuhitaji warudishwe lakini serikali ikadinda. Na tarehe 19 mat kwenye kikao chao wakaiagiza serikali kuwarudisha interns wote...
Palipo na Moshi ndani kunawaka moto.
Kama Kinana naye amefika mahali pa Kusemea adharani ujue kuwa kuna mambo ndani ya cham achetu hayaendi vizuri.
Wanachama tuombe kuonanan na mwenyekiti wetu...
Habari wana JF.
Tunashukuru kwa pamoja kwa Mungu wetu anayeendelea kutulinda na kutuwezesha kuwa hai, ktk mazingira hayahaya magumu chini ya uongozi wa MAGAMBA.
Je?, ni waziri gani ktk...
PICHA :JK AKUTANA NA KUFANYA MAONGEZI NA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON MJINI DAVOS
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron...
Wadau someni hapa, jamaa wanajadili vitu mbalimbali hasa kutokana na Mkutano unaoendelea kule mjini Davos, Uswisi. Nimechukua sehemu hii ambayo inahusu zaidi Tanzania na waliojadili wengi...
Wadau,
Nimekua nikijiuliza maswali lukuki juu ya ushiriki wa nchi yetu tz kwenye mikutano ya wef davos na kwingineko duniani. kwa mtazamo wangu ile mikutano tuwaachie akina merkel, sarkozy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.