Heche,msigwa,sugu,waibomoa ccm kibaha

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
Leo kambi ya ccm jimbo la kibaha mjini imebomolewa baada ya wanachama zaidi ya 36,wakiongozwa na katibu wa kata ya maili moja MATHIAS MOHAMED MBOGO almaarufu (sufuria la CCM) waliporudisha kadi na kujiunga na Chadema,kwenye mkutano mkubwa uliohutubiwa na MWKT WA BAVICHA TAIFA mh john heche suguta aliyekuwa ameambatana na wabunge machachari wa mbeya mjini Joseph mbilinyi (SUGU) pamoja na mch peter msigwa mbunge wa iringa mjini,hali kadhalika viongozi wa mkoa wa pwani na ndg Habibu mchange nao walikuwepo,katika mkutano uliokuwa na kila aina ya mvuto kutokana na hoja za wazungumzaji
wakati bwana Heche alionekana kuliza wananchi kwa hoja zake zilizolenga masikitiko ya namna serikali inavyowapuuza madaktari,na kusababisha vifo visivyokuwa vya lazima huku akimshangaa rais kuwa yuko nje ya nchi akiwa amekwenda kwenye forum ambazo hazina tija! Msigwa ahoji ni vipi CCM iliyosababisha matatizo inaweza kuachiwa iyatatue tena? Anena mpaka sasa wabunge hawajalipwa mshahara! Polisi watalipwa?waalimu watalipwa? SUGU awashangaa wanaotaka urais 2015 kuwa wanaandaa kombe la dunia? Amshauri kinana kama hao watu wanamnyima rais usingzi awatose mapema, Mchange amuonya foka aache kutembea na wake wa wapiga kura afanye kazi! HECHE PIA AMLILIA REGIA MKUTANONI, nawasilisha
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.
 
A short and clear briefying,nimeipenda.ktk ukomboz si rahisi kuwatoa watu wote ktk giza,ukomboz huanza kwa wachache na baadae kwa wengi,tunatofautiana ktk kuguswa na kuelewa.so watu 36 ni weng sana na ni watu mhm ktk ukomboz.mapambano yasonge mbele daima makamanda wa chadema.viva chadema!
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

kama tulivyoanguka jangwani......tungoj tuanguke
 
Ambatanisha na picha mkuu, ila Heche kwa hoja mtoto yule hajambo,ni kweli anaweza liza watu!
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

Mkuu umekuwa mpuuzi kiwango cha kukosa hata common sense ? Unawezaje kuongea utumbo tu hapa jamvini ? Shame on you
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

Utakuwa si mzima!!!antenna zako hazikamati network vizuri,huo ndiyo upuuzi wa ccm,imefika sehemu hata ndani ya kikao cha ccm wakipingana wanadai kuwa kuna watu wa chadema,hakika mmefika mwisho.
 
Kura moja worth alot, nilishawahi gombea nafasi fulani nikashindwa kwa tofauti ya kura tatu tu
 
Baada ya ndugu mchange habib kuingia kwenye eneo la tukio,wananchi walipiga mayowe na kumshangilia sijapata kuona,hakika kijana anapendwa kibaha.
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

We acha utanani na taaluma za watu, unadhani madaktari wote wale na shule yao tena ya miaka zaidi ya mitano wanaweza kukurupukia hoja ya kupewa?
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

Hivi huoni hata aibu kuandika upuuzi kama huu?
 
japo ingekuwa ni mwenyekiti wa ccm wa wilaya huyo wa kata ni njaa tupu. mwenyekiti wa mkoa wa ccm ndio ungesema waibomoa CCM ......hata kata ni kubomoa.
 
Back
Top Bottom