Heshima mbele WanaJF
Kwa muda mrefu sana watanzania wengi wanazidi kuwa masikini na wachache kuwa matajiri ilhali rasilimali zipo bwerere kila pembe ya nchi hii, na hivyo, kuwepo kwa Gap kubwa...
kwa Taarifa zisizo na shaka toka chanzo maalumu, suala la posho za wabunge limeleta mtafaruku katika kikao cha wabunge kupata muhutasari wa kitakachojadiliwa bungeni.kikao hicho kinaendelea sasa...
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania itagharamia ujenzi wa mahakama
ya Afrika (African court of human and peoples Rights) itakayojengwa Arusha.
My Take:
1.Hivi kama hatuna hata hela...
Heshima mbele,
Nimekuwa nikiangalia matumizi ya social networks kwa Salva na timu yake ya kina Michuzi naona wameanza kuamka kama sio kukumbuka shuka wakati kunakucha. Kuanzia matumizi ya blogs...
Wana JF,
Nasikitika sana pale ninapomuona mh. Mtutura, mbunge wangu wa jimbo la Tunduru Kusini haishi huku na wala haji tena siku hizi huwa najisikia vibaya sana. Wakati wa kampeni mwaka juzi...
WAKUU
Kwenye mkutano uliofanyika mjini kibaha chini ya Mwkt wa BAVICHa John Heche akiambatana na Sugu (mb) na Msigwa (mb)
Katibu CCM kata ya maili moja Ndg Mathius (Picha) aljiunga na Chadema ,
Huko nyuma nilisha wahi kusema, siku ambayo watanzania walalahoi watakapoamua kuingia barabarani, sijui watawala hawa watakimbilia wapi kujificha. Sasa wakati umefika, na wakati wenyewe ni leo...
Ni wazi kabisa Mh Pinda na mama Makinda hawana busara! Niwazi Raisi hakubaliani na posho, ila kwa kuwa ni people's pleaser amesukumia wasio na busara kuamua
Ndugu zangu nimeamua kuliza swali hilo kwa sababu nashindwa kufahamu nini tatizo katika idara hii nyeti kabisa ya serikali ambayo ndiyo inayotakiwa kutatua matatizo ya watumishi wa serikali. kama...
Wakuu naona kuna watu tayari wameanza kufanya propaganda za kitoto hapa jukwaani. Mnawajua. Hatuja haja ya kupoteza muda nao, unless kama wanaleta kitu arguable. Msafara wa magari kadhaa na...
Malalamiko mapya yameibuka kwa wafanyakazi wa idala tofauti za serikali. Malalamiko hayo ni juu ya makato ya mishahara ya watumishi.
Imethibitika hivyo baada ya watumishi kukuta mapungufu katika...
Zipo tetesi kwamba kelele anazopiga juu ya maslahi ya zanzibar na wazanzibar ni mkakati waliouweka yeye na maalim seif kujigengea umaarufu ili jamaa atakapotoka amuachie ukatibu mkuu. Endapo hili...
Spika wa Bunge Mh.Anna Makinda leo alikutana na waandishi wa habari baada ya kuahirisha Bunge kutolea ufafanuzi suala la posho na tamko la serikali bungeni kuhusu mgomo wa madaktari.
Katika...
Kumbe ili NATO waje Tanzania ili kutuondolea regime kandamizi inabidi wafe kwanza watanzania si chini ya 5,000. UN security council inakutana ili kulishughulika li-regime la Syria baada ya vifo...
Wakati mwingine mtu akisema jambo fulani la ukweli, wale wanaouswa na jambo hilo huja juu kumkebehi aliyetoa kauli husika. Hapa nataka kurejea hoja ya uongozi wa nchi hii kukosa uthubutu wa...
Kwa sasa Zitto analiomba bunge likubaliane na ombi lake la kupokea taarifa ya mgomo wa madaktari toka kwa waziri mkuu kisha ijadiliwe mjengoni.
SOURCE. Bungeni live TBC
Published On: Tue, Jan 31st, 2012
Tanzania | Published On: Tue, Jan 31st, 2012
British High Commissioner to Tanzania, Diane Louise Corner
The British High Commissioner to Tanzania, Ms Diane...
Kipindi hiki wanaotetea posho
watatumia kila hila kujaribu kudiscredit
wanaopinga posho. Kuna wabunge
wamepanga kuzuia hoja binafsi za
wabunge wanaosimama na Umma
kupinga posho za kukaa...
Baada ya mkuu wa k aya kubariki zile posho za wabunge ambazo kwa uchache (bila vikao vidogo ndani ya vikubwa) ni sh.330,000 kwa siku ambapo kwa siku mbili Mbunge anakuwa amechukua kiwango ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.