Mwaliko wa NATO Tanzania!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaliko wa NATO Tanzania!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, Feb 1, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kumbe ili NATO waje Tanzania ili kutuondolea regime kandamizi inabidi wafe kwanza watanzania si chini ya 5,000. UN security council inakutana ili kulishughulika li-regime la Syria baada ya vifo vya waSyria kufikia zaidi ya 5,000!
   
 2. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mungu na aepushe...!!!!!!!!:A S-omg:.... Wasituletee jeshi la Freemasons hapa. Wachache tuliokuwa nao ni kero tupu.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa ndugu, unajaribu kutuambia nini? Sie hatutaki vita, tutapiga kura nyingi hadi zishindikane kuibwa! Nchi yenyewe hata barabara hatuna, tukibomoa zilizopo si itakuwa balaa?!
   
 4. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 884
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Mzee una survive vipi kama uwezo wako wa kufikiri ndiyo huu?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  You deserves to be a great facebook thinker! wrong number.
   
 6. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Kama unataka waje si anza kuhesabu wanaofariki kutokana na the mgomo wa madokta now, wakifika 5000 waje waanze kupiga pale karibu na ferry
   
 7. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So unataka na sisi tuuane ili waje?
   
Loading...