Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu kampeni zinazidi kushika kasi, wakati CHADEMA sasa iko mbele kwa mikutano mingi, huku CUF wakizindua juzi, wakitumia muda mwingi kuizungumzia CHADEMA, kiasi cha Jussa kuwadanganya wananchi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Zitto Kabwe Bunge halina mguso na wananchi 'out of touch' Inasikitisha kwamba Bunge laweza kukaa wiki nzima na kujadili masuala mbalimbali bila kutoa muda kujadili suala la mtikisiko katika...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
AN EXPERT VIEW OF THE DOCTORS SAGGA Dear "Ankal" Michuzi. Thanks so much for continuing to provide Tanzanians with uncontaminated and relevant information through your blog. I would like to...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa faida ya wengi ambao hatukupata nafasi ya kusikiliza hotuba ya mh. Joseph mbilinyi sugu jana, tunaomba mtuwekee hotuba yake hapa jf...naomba kuwasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Written by amini // 29/01/2012 // Habari // No comments Innocent Nganyagwa Wasiliana na Mwandishi +255 752 227 594 Tuma barua-pepe NASHINDWA kuelewa ni kwa nini...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Majuzi serikali imewalipa wastaafu waliokuwa wakilipwa kila baada ya miezi sita pensheni ya miezi mitatu badala ya sita waliyoisubiria kwa kipindi hicho. Mara ya mwisho wazee hawa walilipwa mwezi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Licha ya mkuu wa mkoa kuchangia nguvu za wananchi wa kijiji cha nkhoiree,wilaya ya singida vijijini,lakini cha kushangaza inasemekana kuwa baadhi ya viongozi wa serikali na watendaji wamezitafuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima wakuu, leo nimelazimika kusema kuhusu mgogoro wa ma-md. na serikali yetu. Mgomo wao 'binafsi' nauunga mkono bila kushawishiwa, iliripotiwa humu jamvini kuwa chadema walinyimwa ushirikiano...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
KUNA mkakati unaoratibiwa na bwana jussa huko pemba kwenye jimbo la uchaguzi kuwa endapo mgombea wa ccm bwana RAZZA akiwekewa pingamizi basi wanaccm wote wahamasishwe kuipinga CHADEMA na kumuunga...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mambo ya msingi ambayo anatakiwa asimame mbele ya watanzania na kutoa tamko la nchi,mfn posho za wabunge yeye anakaa kimya na ikulu ndyo inamsemea.Lakini kuhudhuria kwenye vilio hadi vya makada wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NI HOJA BINAFSI ILIYOWASILISHWA NA JOHN MNYIKA WA UBUNGO Imeandikwa na Shakila Nyerere SAKATA la Richmond linatarajiwa kurudi upya bungeni baada ya Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika...
2 Reactions
100 Replies
10K Views
Nimepata taarifa za uhakika kutoka BUGANDO mwanza kuwa madaktari wa bugando wanaoendelea na mgomo jana walikubaliana kuomgeza makali ya mgomo huo kwa kutoandaa ratiba za kazi kwa idara zote. na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maswali ya papo kwa papo ni tofauti kabisa kama tulvyozuoea. HILI NI BUNGE JIPYA 2012?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona mzee wa Kiraracha ametunukiwa PhD ya heshima, kwa kile kilichoelezwa kutambua mchango wake katika jamii! Ngoja niongeze uzalishaji wa mahindi shambani mwangu niokoe watanzania wasife njaa...
0 Reactions
99 Replies
15K Views
Maneno ya Kinana mwenyewe kama ilivyoripotiwa na Mwananchi, 31/01/2012 "'Nitamwambia Rais kuwa wananchi wanakubaliana na utendaji wako ila uongeze ukali...Hili suala la kuonea aibu la chama cha...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Sitta: Polisi wana ushahidi Mwakyembe kupewa sumu Na: Raymond Kaminyoge WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta amemjibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nohodha kuwa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Wana Jf Nimepata taarifa hii Ccm wana mpango Wa kujenga jengo la BN 60 Dodoma kabla ya 2015 kilicho nivuta na kutaka tujadili wanadai hawata kopa watapata asilimia 20 serekali ya Znz na asilimia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo, Omar Yusuph Mzee 01 Feb, 2012, Na Mwinyi Sadallah Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imetangaza kuwatimua kazi watendaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku vitisho vya serikali dhidi ya madaktari vikifanikiwa kuwarudisha kazini yatatokea mauaji tanzania ya watu maskini wasiokuwa na uwezo wa kwenda apollo na kwingineko nje ya nchi kwa matibabu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Alexi Sinduhije. Picture: File By MIKE MANDE Posted Sunday, January 29 2012 at 17:41 Three confidential letters written by Burundi to help track and arrest Alexis Sinduhije have caused...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom