Kwa nini mbunge wangu haukai huku jimboni kwako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini mbunge wangu haukai huku jimboni kwako?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Oti Kate, Feb 1, 2012.

 1. Oti Kate

  Oti Kate Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Nasikitika sana pale ninapomuona mh. Mtutura, mbunge wangu wa jimbo la Tunduru Kusini haishi huku na wala haji tena siku hizi huwa najisikia vibaya sana. Wakati wa kampeni mwaka juzi, huyu jamaa alitusumbua sana hapa mtaani kwetu, mpilipili road.

  Alikuwa akija mara kwa mara na kujinadi kuwa yeye ndiye suluhisho letu la matatizo yanayotukabili, cha ajabu sasa tangu ashinde ubunge, alikuja mara moja tu wakati wa msiba wa ndugu yake lakini ciku nyingine zote yuko kule Mbagala ambako ndio ana nyumba yake.

  Mh. naomba uje huku kwa sisi wapiga kura wako, kumbuka uliyotuahidi..................yaani imefika wakati namkumbuka mbunge wetu wa zamani marehemu Akukweti licha naye alikuwa na mabaya yake.

  Vipi nyie wenzangu wa vijijini, wabunge wenu ni kama huyu?
   
 2. M

  Mughwira Senior Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani kabla ya kuwa Mbunge alikuwa anakaa wapi?

   
Loading...