Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumaini Makene, Jan 29, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu naona kuna watu tayari wameanza kufanya propaganda za kitoto hapa jukwaani. Mnawajua. Hatuja haja ya kupoteza muda nao, unless kama wanaleta kitu arguable. Msafara wa magari kadhaa na pikipiki kibao ndo unatoka airport kwenda mjini. Msafara unatoka kumpokea Kamanda Freeman Mbowe ambaye ametua muda mfupi uliopita hapo Abeid Aman Karume Inter. Airport. Msafara uko kamili, Kamanda wa anga, Mbowe, Dkt. Slaa, Naibu Katibu Mkuu Zenj, Hamad, wakurugenzi kama Msafiri, Benson, Lwakatare, maaofisa, kadhaa, makamanda wengine. Sasa tunapita mitaani na watu wanashangilia. Nitazidi kuwajuza kadri inavyotakikana. Tuwe pamoja

  Watu mitaani wanasema "CHADEMA hiyoooo"

  Leo kazi ya kampeni inaanza rasmi. Ingawa tayari underground work, ilishafanywa kitambo tu na advance team, muda mrefu. Hii ni nafasi na fursa muhimu ya kuingiza nguvu ya siasa za upinzani kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi. Kazi hiyo itafanywa na CHADEMA kuanzia uchaguzi huu wa Uzini.
   
 2. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu ni msafara mkubwa sana. Watu wanaheshimu protocal, wanaachia nafasi kwa msafara kupita kwa uzuri kabisa. Watu wananyoosha vidole viwili, ishara ya wapiganaji wa CHADEMA na wengine kote duniani, kumaanisha amani, ushindi na upendo. Kazi ndiyo imeanza wakubwa hivyo, magwanda na wale wengine kaeni chonjo, huu ni muda wa kazi na wenye kazi wako kazini sasa. Kama ilivyo ada, CHADEMA wanajiongozea msafara wao, kwa amani kabisa.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Magwanda at work! yetu macho na masikio.
   
 4. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana..,tupo pamoja kamanda..,ukipata upenyo tupia picture ili kina MS waone donge..!:rant:
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Tumaini,
  Kazi mnayofanya inakubalika kwa wengi. Nawapongeza sana. Lakini huyu Msafiri miongoni mwa wakurugenzi ni yupi, Mtemelwa? Kama ni huyu nawapa angalizo la kuwa naye makini sana. Mtemelwa hana tofauti na Shaibu, Guninita...
   
 6. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  aluta continua
   
 7. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu huko tunakoenda ndiyo jimbo la Mohamed Seif Khatibu. Naambiwa mawasiliano kule shughuli pevu ati. Hakuna voda, hakuna airtel. Tigo mpaka usimame mahali bila kuyumba, mwendo ni Zantel. Ingawa nayo kwa modem hola, mpaka juu ya mti (yaani mahali fulani pekee)
   
 8. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Magamba at Work also!

   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi huo unatakiwa kuwasha taa ya kijani kwa Chadema katika siasa za Zanzibar!
   
 10. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmh! "Hata siki la mtema ukilipamba lakaa vyema". Msemo wa Wapemba huo! Na ndio waswahili wakasema; "Uongo unaporudiwa rudiwa sana huonekana kama ukweli"! Hii ni Drip 99.9% kwa Wana wa CHADEMA ambao wana roho ndogo na wanahofiwa kufa kwa presha!
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Haya wale waliosema CDM jimbo la uzini chali,semeni sasa...hakuna wa kuizui CDM kwasasa...shauri yenu.Hatujalala,Mtauwawa bure!!
   
 12. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wapo wanaobeza, wakizani chadema nao wanasiasa zilezile za ccm na CUF. Mpka uchaguzi uishe itakuwa kama Igunga hawataamini macho yao maana chadema inapanda mbegu zake mioyoni mwa watu na si katika mifuko yao kama ccm. Tutawaombea na mabadiliko yatatokea maana Mungu akisema ndiyo mwanadamu ni nani hata aseme hapana?
   
 13. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  WanaJF
  Karibu tunaingia Uzini. Ratiba imebadilika kidogo. Tutaenda Bambi moja kwa moja kwenye msiba ambako bahati mbaya uko kwenye center tunakozindulia kampeni. Kwa kuwa si shughuli inaweza kuahirishwa tunaenda kwenye msiba badala ya kwenda ngome
   
 14. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu nitapambana kadri ya uwezo wote kadri inavyowezekana kuwajibika ili mpate taarifa za uhakika. Hakuna fabrication wala propaganda. Wanasema live bila chenga. Ingawa kadri tunavyoenda ndo wigo wa mawasiliano unapungua. Nitatafuta namna, so longer as the will is there... Suala la picha pia litafanyiwa kazi inavyotakiwa wakubwa. Natambua umuhimu wake. Tayari sumu kwa watoto imeanza kupandwa huku, naona ishara ya vidole na wanashangilia kando kando ya njia. Wakuu Zanzibar itaivishwa, so longer as Wazanzibar wanaonesha utayari wa mabadiliko, kudai uwajibikaji, kupitia forum ya serious political party, CHADEMA.
   
 15. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja kamanda, sasa huyu Mohamed Seif Khatibu pamoja na uwaziri wake kashindwa kupeleka maendeleo (minara ya tigo,voda,airtel) uko jimboni kwake, watu wanamchaguaje sasa?
   
 16. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chadema ikishinda zanzibar mim nahama nchi
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  No comment
   
 18. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru sana Dk Slaa kwa Taarifa. Wasalimie wana Uzini!

   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  kumbe hata kenge huwa wanajua nchi waliyopo na wanaweza wakapata visa??
  basi hata mimi nitaenda Oman...............damn...............kenge mie!!
   
 20. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwenzako Rtz kasema atatembea uchi kutoka Posta hadi Kimara Bunyokwa. Leo simuoni humu JF sijui ndo kaenda kufanya Mazoezi!

   
Loading...