Zitto ajieleza 'facebook' kuhusu posho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto ajieleza 'facebook' kuhusu posho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by micro_almunia, Jan 31, 2012.

 1. m

  micro_almunia Senior Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kipindi hiki wanaotetea posho
  watatumia kila hila kujaribu kudiscredit
  wanaopinga posho. Kuna wabunge
  wamepanga kuzuia hoja binafsi za
  wabunge wanaosimama na Umma
  kupinga posho za kukaa kitako, wengine wameanza kuandika katika
  mitandao ya kijamii kama jamiiforums
  na wengine wataandika kwenye
  magazeti vioja vyao mbalimbali. Binafsi
  nawaomba wajitokeze hadharani
  umma uwaone. Nimeweka wazi msimamo wangu, kwamba posho za
  kukaa sio stahili halali. What i want is
  incentive to enable me perform my
  constitutional duties and not being paid
  for sitting. I vehemently oppose sitting
  allowance system. I strongly support those young MPs who are against
  status quo. Regardless our party lines,
  we stand firm to end status quo. We
  know we shall WIN cause we are
  CONFIDENT
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa nini huyu mkuu hapendi kushirikiana na wana jf??kila issue yeye ni fb,,,,zito karibu jf tumia your real name acha kuendekeza siasa za kiafrica!
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wewe unatumia jina ganii??kwa taarifa yako hata pinda na jk wamo humu kama ulikua huna taarifa
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Zitto hawezi kupinga Posho tena! Si wameshampeleka Apollo, India.
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Knowing that MPs' sitting allowance increase is unpopular move among the whole public, Zitto is taking an advantage of it to contunue headline newspapers for self-publicity. This issue has already been overdiscussed to become a chestnut therefore we have to lay it to rest and focus on other nation's matters.
   
 6. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shibuda na Selasini ni wabunge wa chama cha maandamano mta-deal nao vipi? Kila mmoja kwenye chama anajisemea vyake kulikoni Zitto kutoka chama makini?
   
 7. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afadhari Zitto umeonyesha kwamba hili suala la posho halina chama na kuwapongeza wote wanapinga bila kujali itikadi za vyama vyao lakini hapa Jf kuna watu wanataka kuhalalisha kwamba posho ni suala la CCM wakati kuna wabunge wa kutosha kutoka kambi ya upinzani wanaunga mkono nyongeza ya posho.
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Usijidanganye na kutaka kudanganya watu. Suala la posho halijaisha na for the time being tuna nation matters kubwa mbili among others- posho za wabunge na mgomo wa madaktari!
   
 9. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Zitto kabwe usivunjwe moyo na hawa walemavu wa akili wanaoamini kuwa madaktari wanapatikana kwa kura za maoni!
   
 10. MANI

  MANI Platinum Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli?
   
 11. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hello Radhia... You can not decide for us what to discuss, if you do not wish to discuss you can walk away quietly.
  What is the matter if Zitto gains popularity by standing firm on the side of poor Tanzanian's? Do you know how much these MP's are being paid as sitting allowance for the duty that they are being paid for?

  We're behind you Zitto, say no to MP's sitting allowances, let that money do something better. Look at the poor doctors who get paid only 10,000 whole day when they're on call.
   
 12. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,160
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Micro_Almunia na Wana JF,
  Nafikiri hili suala la Posho tuliangalie kwa undani zaidi bila ushabiki, tusimbeze Zitto bila kujua anachopinga,
  Sasa hivi Nchi ina matatizo mengi sana, tutafute ufumbuzi wa matatizo yetu
  Nawakilisha   
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  huyu kijana ni miongoni mwa viongozi ambao taifa hili linastahili kutembea kifua mbele kujivunia kuwa nae,namtabiria kufika mbali kwenye harakati zake za kisiasa nikiamini iko siku atakuja kuwa ama rais wa nchi hii ama rais wa chama cha siasa chenye nguvu kitakacholeta ukombozi wa kweli wa mtanzania.

  kaza buti zitto usiwajali wanaotumiwa kukuchafua,nyie wanasiasa ambao sio mzao wa Tanu youth league namaanisha wanasiasa wa kizazi kipya cha siasa za tanzania ndio mtaikomboa nchi hii,vijana wa zamani wa tanu hata wawe wapi hawatakua na jipya zaidi ya kuunga mkono posho kwa ajili ya kukaa badala ya posho kwa ajili ya mafuta ya gari ili wazunguke huko site,wanataka kulipwa kwa ajili ya kukaa kitako na kugonga gonga meza mjengoni.Pia ileweke hata kukaa kimya ni kuunga mkono posho.
   
 14. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yeye kaipeleka JF wewe umeileta huku kwa ridhaa yanani? Si kaona kule ndio watampa majibu sahihi
   
 15. m

  micro_almunia Senior Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  FACEBOOK WALLS ARE NOT COPYRIGHTED!!
  Hakuna ridhaa inayohitajika kuweka maneno ya mtu (tena yaliyokuwa intended kwa public).
   
Loading...