ICC ya Africa kujengwa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ICC ya Africa kujengwa Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMMANUEL NSAMBI, Feb 1, 2012.

 1. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania itagharamia ujenzi wa mahakama
  ya Afrika (African court of human and peoples Rights) itakayojengwa Arusha.

  My Take:
  1.Hivi kama hatuna hata hela ya kuwalipa madaktari hii mahakama tunatoa wapi?
  2.Hii mahakama ina manufaa gani kwetu mpaka ijengwe kwa hela ya serikali?
   
 2. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkutano wa Umoja wa Africa uliofanyika hivi karibuni umebariki ujenzi wa Mahakama itakayoshughulikia masuala ya jinai. Rais Kikwete ameahidi kwamba serikali itatoa eneo na kugharamia ujenzi wa mahakama hiyo. Kwanza nawapongeza wanadiplomasia wa Tanzania kwa kufanikisha kuishawishi AU kujenga mahakama hapa. Arusha baada ya muda itakuwa New York ya Africa. Suala ni je hiyo mahakama itakuwa huru au itasimamiwa na hawa watawala wahalifu ambayo mahakama inapaswa iwashughlikie?

  Source:Nipashe
   
 3. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Waache wajenge uchumi wa arusha unyanuke watu walambe ajira.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kuna mdau ana habari ni sehemu gani ya arusha itajengwa
   
 6. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado wanatafuta eneo kwa mujibu wa JK
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Zitakuwa ni pesa za AU sasa anataka kupatia ujiko hapo!!! Subiri wapiga debe wake waje kutetea!!
   
 8. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Walikuwa wanataka kujenga pale tengeru mkabala na lile shamba wameru walilolifeka. Sijui kama wamebadili plan.
   
 9. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 10. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa,ni kwamba hii mahakama imeishaanza kufanya kazi,na wapo katika jengo la TANAPA,pale BURKA...Japo sina uhakika kama vitengo vyote vimekamilika au ni Mobilization tu. Inasemekana wamepewa eneo kule Tengeru...lakini pia zipo tetesi kuwa wanataka wapewe Jengo na eneo la Tanapa...ili TANAPA ndio wajenge jengo lingine huko Tengeru na kuhamishia makao makuu yao huko(ni tetesi tu)
   
 11. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ikijengwa na itakapoanza kazi ianzie kuwashughulikia watanzania waliotufikisha hapa tulipo kimaisha kwanza,
  Inawezekana pesa sa ujenzi zikatoka mfukoni mwa fisadi ambae kiwete anamfahamu, kiakili tu haiingii akilini ikiwa tunakopa hata pesa ya kulipa wafanyakazi tutawezaje kujenga mahakama ya multi million dollar??. Huyu mshkaji kwa kimbelembele!!!
   
 12. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hivi kama ni ya Afria si inabidi ijengwe na all African member stastes?Au anataka 2015 aje atudanganye
  kuwa ametekeleza ahadi za chama?Ukweli JK haipendi kabisa Arusha na nina hakika ingekuwa ni uamuzi wake
  asingetaka ijengwe Arusha.Huyu ****** Jamani...
   
 13. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Pesa za ujenzi tutazipata kwa mkopo wa ndani/mabenk yetu..kwa masharti nafuu..
   
 14. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hakuna baba anayeweza kukiri nje yeye ni mdhaifu na hana uwezo siku zote lazima ajitutumue ndicho alichofanya mheshimiwa hapo, kwa kweli mi nafikiri ni jambo jema lakini Arusha inahitaji planning ya hali ya juu, kwa sasa ilivyo arusha mjini kwa kweli sipapendi haswa kwenye suala la miundo mbinu (barabara) tayari mji unafoleni je tuikuze iwe kama dar tunahitaji kwanza kufikiria namna ya kupunguza kero iliyopo na ndipo tuendelee na hili jambo, na mji unatakiwa uexpand outward sasa hivi la sivyo hapata kuwa na mvuto, jambo jingine ni uangalizi wa majengo ya urefu gani yanajengwa wapi kwa sababu we need a good supply of natural air sasa pale ambapo kutukuwepo na uzibaji ni dhahiri tunatengeneza tanuru, ni hayo tu. kuhusu pesa sasa nilimsikia mtoto wa mkulima akiuliza mnataka tuwaambie tra waanze kutafuta mapato kwa nguvu ni dhahiri wakizitaka hizi pesa toka kwa wananchi watazipata tu,
   
 15. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Fikra zingine bwana,
  Hii ni sawa na mtalii anayeingia Tanzania kwa British airways, halafu anafikia Royal palm Hotel, Kisha anaenda kutalii Serengeti na akaisha S.Grumet ndani ya Hifadhi kisha akawea piapa kurudi kwao.
  Jiulize.
  Sh ngapi imeingia Tanzania, mi naona ni almost hakuna kitu kwa sababu kampuni zote na hotel si za watanzania hivyo pesa yetu imerudi kwao.
  Teh teh teh.
  Theres no place like TZ
   
 16. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe hela ziko,kwa nini madaktari wasilipwe madai yao!
   
 17. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Thubutu! Labda wakenya,waganda na wanyarwanda wafe wote
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Old Burka coffee estate
   
 19. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
   
 20. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo heading ero vipi!!! Is ICC equvallent or rather equal to AfCHPR but come out may si tatizo na ni faida kwa nchi ila jambo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti ni kweli kwamba JK kasema Tz itajenga hiyo Mahakama ama Tz itatoe eneo manake hivi ni vitu viwili tofauti kimantiki AfCHPR mpaka sasa hivi ina Nchi wanachama 22 kati ya Nchi nadhani 54 zilizopo Africa sasa sioni ni kwa nini Tz peke yake ndo ijenge mahakama hiyo mwisho wa mwezi wa Kwanza Nchi wanachama wa AU walizindua jengo lao jipya la Mikutano Addis ambalo limejengwa na Nchi wanachama kwa msaada wa Nchi zingine na WB sasa hili kwa nini liwe la Tz pekee mi nadhani tujaribu kufanya uchunguzi wa kina mjadala huu.
   
Loading...