Hah! Kumbe Posho mbili ni mshahara wa Daktari Tza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hah! Kumbe Posho mbili ni mshahara wa Daktari Tza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Whisper, Jan 31, 2012.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Baada ya mkuu wa k aya kubariki zile posho za wabunge ambazo kwa uchache (bila vikao vidogo ndani ya vikubwa) ni sh.330,000 kwa siku ambapo kwa siku mbili Mbunge anakuwa amechukua kiwango ambacho ni sawa na mshahara wa Daktari wa level ya Registrar. Huyu ni kiumbe aliyesoma chuo kwa miaka isiyopungua mitano.

  Kumbe posho ya Mbunge kwa mwezi inalipa zaidi ya madktari kumi wa kitanzania...

  Kumbe posho ya huyu mbunge wetu kwa mwezi inalipa posho za Madaktari wapatao 60 kwa mwezi.

  Hah, Kumbe wabunge hawajawahi kukopwa posho...

  Kweli Mungu shuka angalau kwa kipande hii ya Tanzania ufanye vitu vyako kwa sisi tunaofanyiana udhalimu huu. Mioyo yetu imejaa unafiki hata haya imetutoka usoni kwetu. Tunaongea kwa shingo upande konyesha huruma kumbe mioyo yetu imejaa ukatili na uuaji, unafiki na choyo. Mungu shika ufunue mioyo yetu tuaibike...
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Habari ndo hiyo Mkuu. Pia nusu posho ya siku moja ni Mshahara ya Mwalimu wa shule ya msingi.
   
 3. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kazi bado ipo! Mkuu wa kaya anabaki kukana tu kwamba si yeye!
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni hatari!!!
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  si ndio maana wanahangaika kumtafutia sababu kigwangallah maana kawavua zote wamebaki na midomo tu??

  selfish muppets
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Heri mimi sijasema!
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  serikali haina fedha.
   
 8. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  HAlafu hii ya Pinda kuongea huku amepindisha shingo ndio maana yake nini au anataka kuonewa huruma wakati moyo wake umejaaa masizi ya unafki na uzandiki.
   
 9. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Baba kwa kulia lia huyo nampa five...
   
 10. v

  valid statement JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Walimu nao wagome baada ya madaktari kusikizwa. Japo wapate posho ya siku mbili ya mbunge kama mshahara kwa mwezi kwao.
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280


  Jana walim handeni waligoma, na kuandamana.
   
Loading...