Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa Nyerere tuliumia wote. Sasa hivi serikali hii hii inalipa hela ndefu BOT, TRA ETC. Tatizo serikali inadhani watu hwafahamu. Kumuka aliye BOT alikuwa Class mate wangu ananiambia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau. Ukiangalia kiundani, madai ya madaktari wa tanzania ni muhimu sana, si tuu kwa madaktari bali na wananchi kwa ujumla. Ni kweli kwamba mazingira ya hospital zetu yakiboreshwa, mwananchi wa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hivi viongozi wetu mlio juu, hamjui kama tenda nyingi za serikali wanapewa wale wanaojua kutoa 10% lakini sio kwa watendaji Bora? Kama mlikua hamjui, naoma kwa leo mlijue hilo na mchukue hatua...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Jakaya Kikwete Gazeti la Mwananchi la leo, Jumanne, Januari 31, 2012 limeandika habari zenye kichwa cha habari – JK abariki posho mpya za Wabunge: Kila mmoja kulipwa sh 330,000 kwa siku. Habari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Issue imekuwa complicated as only interns na muhimbili dr walio chini ya wizara ya afya the rest mikoani wapo chini ya halmashauri ambayo ni tamisemi so mgomo unity ni ndogo. Hawa madokta wako...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa uhakika, sakata la mgogoro kati ya madaktari na watumishi wa afya linaendelea kuchukua sura mpya baada ya bunge kujipitishia nyongeza ya posho zao hadi 200,000 huku serikali ikidai haina pesa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukisoma tamko la mwenyekiti wa chama cha kijamii Constantine Akitanda kipengele cha tano,amezungumzia suala la kufutwa kwa ruzuku zinazopewa vyama vya siasa, na ukijaribu kutazama vyama vyenyewe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu tutafakari pamoja,sina nia ya kumuonea au kumtetea mtu bali naulizia maoni yenu katika hili. Kuna kawaida ya kuwepo wahudumu mbalimbali wanaohudumia ofisi za Bunge. Mmoja wa wahudumu hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi nilitarajia kuwa serikali ingeonesha uwezo wa kuwa mchangamfu kushughulikia madai ya madaktari bila kulazimishwa zaidi na migomo. Bahati mbaya sana serikali yetu inaonekana kutoamini kuwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ndio Bongo uijuavyo.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko huku kwa siku kadhaa kwa ajili ya AFCON (wakati mwingine Gabon) Tukiacha yoote mengine, kuna kitu nimekinote cha tofauti, kama sisi, wao wana bara na visiwani (Rio Muni na Bioko) ingwa sijui...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika kuthibitisha ukosefu wa umakini ndani ya serikali, mchana huu mwandishi wa Clouds Redio ameripoti kuwa wagonjwa katika hospitali ya Muhimbili hawakupata huduma yeyote ikiwemo kushuhudia...
26 Reactions
188 Replies
16K Views
taarifa ni kuwa madaktari KCMC wamefungiwa ktk ukumbi wa mkutano na wana usalama Naona nguvu ya dola sasa inatumika
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wabunge vijana January na Zitto wako TBC wakifafanua hoja binafsi walizowasilisha bungeni
0 Reactions
65 Replies
6K Views
jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Nchi yetu ipo katika hali ya dharura kutokana na kutaabika kwa wagonjwa mahospitalini bila msaada kufuatia mgomo unaoendelea wa madaktari. Itakuwa ni aibu kwa Bunge kuanza kikao chake leo kama...
23 Reactions
39 Replies
3K Views
Wananchi- Nyongeza ya posho ya 200.000 wanayodai wabunge ni kubwa mno Serikali - Posho hiyo ni ndogo sana ukilininganisha na tunavyojilipa sisi serikalini, madai ya wananchi hayanana msingi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madaktari tuambieni mmetumia vigezo gani kufikia mshahara wa TZS 3,000,000 plus other fringe benefits ambazo mwisho wa siku sitafikia karibu 5,000,000/= 1. Hamuoni kuwa Polisi nao wanastahili...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Kinacho wauzi Wz,bar sio Pombe tu kuzwa ukouchafu mwingi tu ukiwemo madanguro ya uhasharati na hii yote ni kukosa muelekeo wa uongozi Zanzibar.Written by amini // 31/01/2012 // Habari // No...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwananchi Mon 30 Jan 12:47AM Hamad Rashid atikisa Pemba BOOKMARK THIS PAGE Hamad Rashid atikisa Pemba Send to a friend Monday, 30 January 2012 11:40 0digg Aziza Masoud, Pemba MBUNGE wa Wawi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom