Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu najua kuna thread zinaendelea kuhusu Mgomo wa madaktari, lakini hii habari niliyoiona kwenye IPP media "Pinda aagiza madaktari wakamatwe" imenitia wasiwasi na kuamua kuiweka post hii na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sasa hatimaye madaktari bingwa wa Muhimbili National Hospital wamefanya kikao chao leo. Sijapata details za maazimio yao, ila wamechagua ujumbe wa watu sita...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
kwa hali ya kawaida haingii akilini kujadili mkataba wa vijana bungeni wakati vijana wenyewe wanakufa kwa sababu ya migomo wa wafanyakazi wa secta ya afya, wabunge msifungwe macho na spika kesho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI MHESHIMIWA JOSEPH MBILINYI KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURIDHIA MKATABA WA VIJANA WA AFRIKA (AFRICAN YOUTH CHARTER)...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Wan jf , hii zitto alijuaje kuwa rais hakuwa amepitisha ongezeko la posho za wabunge!
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hatimaye serikali imesalimu amri, yatafuta mazungumzo upya na madaktari. Source ni Waziri wa Afya akizungumza na BBC Swahili jioni hii. Dr. Mponda amesisitiza licha ya madaktari hao kuamriwa...
19 Reactions
233 Replies
18K Views
Yeyote anayejiuliza maswali kadhaa kuhusu uongozi katika nchi yetu, haya ni moja ya maswali yatakayomtatiza:1. Je kulikuwa na haja ya Rais kuanza mchakato mpya na vyama vya siasa kuhusu muundo au...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Madaktari leo asubuhi wameukoleza moto kweli kweli!madaktari waliokwenye mafunzo ya vitendo (interns) wanazunguka tu wodini leo na madaktari wakazi(residents) wamekusanyika jengo la chuo cha kcmc...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Jana nimeisikitikia sana nchi yangu Tanzania, na haswa kwa kuwa na kizazi cha viongozi vijana ambao nilikuwa naona kama wangeliweza kuja kulisaidia hili taifa hapo siku zijazo , lakini nimegundua...
1 Reactions
136 Replies
10K Views
  • Closed
Katika kikao kimojawapo cha bunge mwaka jana ilisikika kauli hii' FUNGENI MILANGO TUZICHAPE' radio magic ktk blabla zao asbuhi wakawaaminisha wasikilizaji kuwa ni Kamanda LEMA, sikufurahi mi kama...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu tuko tunaendelea na pilika pilika za kampeni huku Uzini, ofcourse masuala ya yanayoendelea kujiri nitayaweka na ku-update katika thread husika unless itakapolazimu tofauti. Katika mikutano...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama wiki mbili zilizopita, waziri Chami alishindwa kuendelea na ziara jimboni kwake na kukimbilia India kwa matibabu. Wakati serikali inatoa taarifa kuhusu viongozi wagonjwa walioko India...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Waheshimiwa, hali iliyofikia kuhusu swala la madaktari na posho za wabunge ambazo inaonekana kabisa ni kinyume na sera za CCM. Ni wakati muafaka NEC, iwatoe hawa katika nyazifa zao na kuondoa...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Msele, (aliyesimama), Meya wa Manispaa Mohamedi Mahami, Naibu Meya Pantaleo Solongai, Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Singida Mjini Hamisi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri mkuu Mizengo Pinda na Spika wa bunge Anna Makinda waliuambia umma kuwa rais Jakaya Kikwete ameidhinisha kuongezwa kwa posho ya wabunge. Siku moja baadaye ikulu imekanusha.Je kwa kumsingizia...
0 Reactions
79 Replies
6K Views
Serikali imeridhia Posho za Wabunge ziongezwe, lakini imegoma kusikiliza (sio kuongeza) maslahi ya Madaktari hata baada ya wananchi kutaabika kwa kukosa huduma za afya kutokana na Mgomo wa...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
KAtika kile kinachoonekana kuchoshwa na longolongo za Serikali, waalimu 246 Wilayani Handeni wamegoma kuingia madarasani kufundisha na wameaapa mgomo unaendelea mpaka watakapolipwa stahiki zao...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanabodi, hii imetoka jikoni kabisa: Jana jioni majira ya saa 10, kikao cha kamati ya wabunge wa chama cha mapinduzi ilikutana Dodoma kujadili mambo mbalimbali na hapo ndipo suala la mjadala wa...
0 Reactions
202 Replies
18K Views
Gazeti moja la serikari laandika na kutoa picha kuonyesha wanajeshi wakiwa kazini lakini swari je watatosha nchi nzima mpaka KAZURAMIMBA, MWAKALELI, ILEMERA na vijiji vingine au Muhimbiri tu NA je...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kuwa suala la kupinga posho likikuwa ni la chama kama mwenyekiti Mbowe alivyowahi kaliliwa huko nyuma na kusisitiza hilo si suala la zitto na kwa kuwa rais kapitisha nyongeza ya posho ya vikao...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom