Zitto Kabwe aomba bunge liliridhie, serikali itoe taarifa ya mgomo wa madaktri na kisha ijadiliwe

Spika amesema serikali itatoa taarifa yake na kama itajaliwa au lah..ataamua yeye!

UPDATES;
Ni kwamba mkulu ameomba na ameshapelekewa madai ya madaktari kwa hiyo issue iko juu ngazi ya juu zaidi!!

KINGINE, PM ameomba akutane tena na viongozi wa kamati ya mgomo leo ofisini kwake, ila wamemjibu kwamba awaruhusu kwanza wakae kikao (ambacho alipiga marufuku) ili Madaktari watoe mapendekezo nini wamwambie waziri mkuu kwani wao ni wawakilishi tu!!
 
nduo wabunge tunaotaka,si wale wanafwata posho na kwenda kupiga usingizi tu
 
Spika amesema serikali itatoa taarifa yake na kama itajaliwa au lah..ataamua yeye!

UPDATES;
Ni kwamba mkulu ameomba na ameshapelekewa madai ya madaktari kwa hiyo issue iko juu ngazi ya juu zaidi!!

KINGINE, PM ameomba akutane tena na viongozi wa kamati ya mgomo leo ofisini kwake, ila wamemjibu kwamba awaruhusu kwanza wakae kikao (ambacho alipiga marufuku) ili Madaktari watoe mapendekezo nini wamwambie waziri mkuu kwani wao ni wawakilishi tu!!

hahahaha mkulu yupi?? huyuhuyu duuu!
 
Hii issue mbona ianzidi kujichanganya sasa, ameshindwa kuwaona Dr, sasa wanenda Dodoma au PM anarudi dar?
 
Pinda na Makinda ndo wahujumu nchi namba moja kwa sasa. Kweli nchi hii inapita kwenye mazingira magumu sana sasa.
 
Limeahirishwa kwa hiyo leo posho wanapokea nusu au maana wamekaa kikao cha asubuhi tuuuu!!
 
Bunge limeailiswa mpaka kesho saa 3 ab kesho

kama ni mpaka kesho hapa pesa ya wananchi inateketea ina maana siku imepotea na si ajabu wakaifidia siku ya j.mosi posho Tshs 330000/= per day x 325 wabunge=107,250,000/=,ok tutafika tu.
 
Back
Top Bottom