Hatimaye Ikulu yaikubali mitandao ya kijamii (social networks)

Game Theory I

Member
Nov 28, 2011
32
8
Heshima mbele,

Nimekuwa nikiangalia matumizi ya social networks kwa Salva na timu yake ya kina Michuzi naona wameanza kuamka kama sio kukumbuka shuka wakati kunakucha. Kuanzia matumizi ya blogs, facebook na twitter jamaa wameonyesha kitu. Maswali yangu ni haya kwa bwana salva, premi kibanga na timu yako:

1. Mbona account ya twitter ya jk ina-follow mtu mmoja tu? Je inawapuuza followers? Hapo kuna 2 ways communication?
2. Mnayatumia vipi maoni ya wananchi mtandaoni?
3. Lini mtafungua kiji-account cha Ikulu hapa JF? (najua huwa mnachungulia kwa kuibia ibia).
4.png 3.png
 
Itakuwa jambo la maana tukiwa na member ambaye atakua anaiwakilisha ikulu hapa jamvini!! JF ni ya wote, ya watanzania na tuipende wote na kujivunia.
 
Labda ujio rasmi ila naamini tunao hapa kwa id za nyuma ya pazia.
Ila fb wall ya Jk ilikuwa inaandika pumba kipindi kile cha kampeni hadi nikamu-unfriend....!
Tunamkaribisha Salva na timu yake.
 
Heshima mbele,

Nimekuwa nikiangalia matumizi ya social networks kwa Salva na timu yake ya kina Michuzi naona wameanza kuamka kama sio kukumbuka shuka wakati kunakucha. Kuanzia matumizi ya blogs, facebook na twitter jamaa wameonyesha kitu. Maswali yangu ni haya kwa bwana salva, premi kibanga na timu yako:

1. Mbona account ya twitter ya jk ina-follow mtu mmoja tu? Je inawapuuza followers? Hapo kuna 2 ways communication?
2. Mnayatumia vipi maoni ya wananchi mtandaoni?
3. Lini mtafungua kiji-account cha Ikulu hapa JF? (najua huwa mnachungulia kwa kuibia ibia).
View attachment 46058View attachment 46059

Ushauri wangu ni kwamba; usiamini haraka kuwa kila Jina mtandaoni ndiye mhusika halisi.
 
Itakuwa jambo la maana tukiwa na member ambaye atakua anaiwakilisha ikulu hapa jamvini!! JF ni ya wote, ya watanzania na tuipende wote na kujivunia.

RedDevil,
Asante kwa wazo na ushauri mzuri. Nikufahamishe tu kwamba, si siku nyingi mwaka huu, tutazindua huduma mpya zitakazo waleta Watu, Ofisi na Taasisi kubwa na zinazoheshimika hapa kwa majina halisi. Wengine kama PPF tayari wanafurahia huduma za JF
 
Heshima mbele,

Nimekuwa nikiangalia matumizi ya social networks kwa Salva na timu yake ya kina Michuzi naona wameanza kuamka kama sio kukumbuka shuka wakati kunakucha. Kuanzia matumizi ya blogs, facebook na twitter jamaa wameonyesha kitu. Maswali yangu ni haya kwa bwana salva, premi kibanga na timu yako:

1. Mbona account ya twitter ya jk ina-follow mtu mmoja tu? Je inawapuuza followers? Hapo kuna 2 ways communication?
2. Mnayatumia vipi maoni ya wananchi mtandaoni?
3. Lini mtafungua kiji-account cha Ikulu hapa JF? (najua huwa mnachungulia kwa kuibia ibia).
View attachment 46058View attachment 46059

Ni wazo zuri kama litaingizwa katika katiba mpya ya Muungano.
 
nadhani kupata mtu ambaye anafanya uchambuzi makini wa mazungumzo ya jamii za mtandaoni ni kitu muhimu kwa taifa, maana hiyo ni sehemu ya nguvu ya dunia ya leo. Hata kama hawataweka mtu hapa, lakini kuhakikisha wanapitia mitandao kila siku ni faida kwa viongozi.
 
Heshima mbele,

Nimekuwa nikiangalia matumizi ya social networks kwa Salva na timu yake ya kina Michuzi naona wameanza kuamka kama sio kukumbuka shuka wakati kunakucha. Kuanzia matumizi ya blogs, facebook na twitter jamaa wameonyesha kitu. Maswali yangu ni haya kwa bwana salva, premi kibanga na timu yako:

1. Mbona account ya twitter ya jk ina-follow mtu mmoja tu? Je inawapuuza followers? Hapo kuna 2 ways communication?
2. Mnayatumia vipi maoni ya wananchi mtandaoni?
3. Lini mtafungua kiji-account cha Ikulu hapa JF? (najua huwa mnachungulia kwa kuibia ibia).
View attachment 46058View attachment 46059

Hapa wana Mawakala, mkuu huoni Ikulu itakuwa na mambo mengi sana ya kuya-attend isipo-Outsource ????????
 
Back
Top Bottom