CCM waingilia baraza la madiwani kudhibiti mafisadi wasisemwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM waingilia baraza la madiwani kudhibiti mafisadi wasisemwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Isango, Feb 1, 2012.

 1. I

  Isango R I P

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 295
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Msele, (aliyesimama), Meya wa Manispaa Mohamedi Mahami, Naibu Meya Pantaleo Solongai, Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Singida Mjini Hamisi Jumanne Nguli na Katibu wa CCM wa Wilaya Singida Mjini anayeitwa Ndwete, wakiongoza kikao cha baraza la madiwani Singida mjni. Je hivi ndivyo Kanuni zinavyopaswa kuwa? Hili ni baraza ovyo la madiwani kuliko mabaraza yote pengine duniani. Wanaingilia uhuru wa mijadala ya madiwani kwa kulinda heshima ya Cham chao, kwanza wanawatisha madiwani hata kama ni wa Chama chao wasiwe wazi katika kuhoji mambo kuowaogopa magamba hawa. Wana JF nipeni ushauri niwashughulikie kwa staili gani?
   
 2. I

  Isango R I P

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 295
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35