WANAJESHI KAZINI,Je? Ni ishara ya madaktari kukosa kazi au vipimo na beat za government

Ulenje

Member
Jul 10, 2011
30
2
Gazeti moja la serikari laandika na kutoa picha kuonyesha wanajeshi wakiwa kazini lakini swari je watatosha nchi nzima mpaka KAZURAMIMBA, MWAKALELI, ILEMERA na vijiji vingine au Muhimbiri tu NA je watakuwa kazini mda wote au ni zima moto na kujipima uwezo kwamba hawajashinda na haawatafanikiwa ebu naomba tutazame kwa mapana na marefu, Serikari salama sio ile inayotengeneza hari ya kukomeshana na wananchi bali inayowasikiliza na kufanya COLLECTIVE DECISION FOR ALL
 
...hii ndo halihalisi ya kwamba tz hakuna utawala wa sheri,nchi inaongozwa kwa mabavu...
 
hao wanajeshi waliopelekwa muhimbili ni kumi na tano tu (15)......ndio utaona jinsi serikali inavyochezea akili za watu....huko kwingine kwenye migomo wamepeleka nini........na hao wanajeshi huko walikotoka (hospitali ya lugalo) gap lao limezibwa vipi??
 
hao wanajeshi waliopelekwa muhimbili ni kumi na tano tu (15)......ndio utaona jinsi serikali inavyochezea akili za watu....huko kwingine kwenye migomo wamepeleka nini........na hao wanajeshi huko walikotoka (hospitali ya lugalo) gap lao limezibwa vipi??

Si na wao watalipwa posho si wametoka vituo vyao vya kazi!!!
 
Kwani jeshi lina madaktari wangapi? 50? 100? 300? Na wana uwezo wa kuendelea kutibu kwenye hospitali za uraini at the same time hospitalini kwao kwa muda gani? forever? Kama serikali haikukaa chini na kumaliza huu mzozo baada ya week moja utasikia wanajeshi wakilalamika kuwa wanazidiwa kazi.
 
Hii sinema ya madaktari na serikali sijui itaisha lini. Watuambie hali ikoje huko kwenye hospitali za jeshi, nani anawatibu watu wao?
 
Back
Top Bottom