Aliyesema hivyo bungeni ni DAVID KAFULILA na sio GODBLESS LEMA

Status
Not open for further replies.

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Katika kikao kimojawapo cha bunge mwaka jana ilisikika kauli hii' FUNGENI MILANGO TUZICHAPE' radio magic ktk blabla zao asbuhi wakawaaminisha wasikilizaji kuwa ni Kamanda LEMA, sikufurahi mi kama muumini wa siasa zake, ieleweke kuwa aliyekuwa anafuatilia bunge live aliona na kusikia nikiwemo mimi.

SIMCHUKII Mh David Kafulila ila nathibitisha kwa mujibu wa hansard kuwa aliyetoa ile kauli ni mbunge wa kigoma kusini DAVID KAFULILA. Niwaonye magic fm kuwa siasa za lema isipelekee ahusishwe na vitendo ambavyo si vya 'kawaida' kisiasa.

VIVA CHADEMA
 
Mkuu Mujuni majani.

Ulivyomalizia "VIVA CDM" imekuondolea uhalali wa kuaminika unachotaka kutuaminisha ha ha ha ha.Kafulila hajasema fungeni milango tuzichape viva NCCR.

Katika kikao kimojawapo cha bunge mwaka jana ilisikika kauli hii' FUNGENI MILANGO TUZICHAPE' radio magic ktk blabla zao asbuhi wakawaaminisha wasikilizaji kuwa ni Kamanda LEMA,sikufurahi mi kama muumini wa siasa zake,ieleweke kuwa aliyekuwa anafuatilia bunge live aliona na kusikia nikiwemo mimi.SIMCHUKII Mh David Kafulila ila nathibitisha kwa mujibu wa hansard kuwa aliyetoa ile kauli ni mbunge wa kigoma kusini DAVID KAFULILA.niwaonye magic fm kuwa siasa za lema isipelekee ahusishwe na vitendo ambavyo si vya 'kawaida' kisiasa.VIVA CHADEMA
 
umeanza vizuri ila umemamalizia vibaya...hata mimi ningesema siyo Lema ni Cheyo.. VIVA UDP
 
mkuu ungeweka uthibitisho wa hansard au sauti yenyewe nadhani ingesaidia kujenga hoja.
 
Wewe mkerewe mbona unaingia hapa kwa kukurupuka???umejiunga jana tu unakuja na uzushi wa huko rwamugasa
 
napita tu, naelelekea Muhimbili kumwona mgojwa wangu, sijui kama kapata matibabu toka jana.
 
Kosa likowapi kusema viva chadema, we ulitaka amaliziaje? ukosoaji mwingine hauna tija unakuwa kama utoto tuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom