Kuna ujumbe wa madaktari bingwa wako njiani kwenda kumuona rais Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna ujumbe wa madaktari bingwa wako njiani kwenda kumuona rais Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Feb 1, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sasa hatimaye madaktari bingwa wa Muhimbili National Hospital wamefanya kikao chao leo.

  Sijapata details za maazimio yao, ila wamechagua ujumbe wa watu sita kwenda kumuona Mh. Rais ili mgomo wa madaktari uishe ndani ya 48 hours.

  Sijui wameenda na hoja au matakwa yapi.

  Tuendelee kusubiri.......
  Updates...........ujumbe huu ni wa madaktari bingwa muhimbili na unaenda kuiona serikali   
 2. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  uamuzi mzuri, nadhani tutapata muafaka mapema
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  serikali imechelewa sana kutatua jambo hili.na siku zinavyoenda ndivyo hali inavyozidi kuwa mbaya.mfano bugando madaktari wameazimi kufanya mgomo wa nguvu zaidi.hata ratiba ya kutoa huduma haijapangwa,KCMC maresident doctors wameingia kwenye mgomo leo hii.maeneo ya arusha huduma zimeanza kusuasua.muhimbili balaa ni lile.wakati wa maamuzi magumu lazima watu wawajibishwe.
   
 4. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mh Mkuu wa Kaya atawaambia '' Waziri mkuu alishafanya maamuzi mrudi kazini, hamna sababu ya kuendeleza mgomo na mnajua nilikuwa nje''. Pili nataka mjue kuwa hali ya uchumi ni mbaya dunia nzima na serikali haina hela ya kuboresha hayo mazingira mazuri mnayoyadai''%
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Na mimi niliambiwa kuwa leo madaktari bigwa watakuwa na kikao chao wenyewe
  pale muhimbili, hii itakuwa ni kweli maana kuna Nurse nakaa naye mitaa ya kwetu

  Alisema hawa madaktr bingwa watakutana na viongozi wa wizara na kikao kitakuwa cha siri
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  vipi kuhusu posho za wabunge?
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  naogopa asije kuwaita mbayuwayu!!
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kazeni buti, ushindi umekaribia. Huwa kizuri hakiji ila kwa kwa kutumia nguvu. Pambaneni wa ukweli
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  jk mtu wa ajabu sana...pale alipo hajui hata kama kuna mgomo...subiri taarifa ya ikulu leo saa mbili usiku itayorushwa '' habari zilizotufikia hivi punde..........''
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  hizi akili za kimburu zinatoka wapi?!!
   
 11. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Adui mkubwa wa wizara ya afya ni Blandina Nyoni, so wanapopata nafasi ya kuongea na mku wa kaya hiyo iwe ndo ajenda kuu.
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ikulu is public a office, people's house. It should be open to anyone regardless the movement is not associated with criminality to the nation like corruptions and shadow deals. Anything pro bono Ikulu is the place for that.

  If you see people makes Ikulu a secretive place and a place to afraid, That is tyranny. We need to change these types of minds to our rulers and the people alike.
   
 13. H

  Hussein Mustafa Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nataka kuhamia Darful kwa muda kuepuka haya maudhi ya watawala!!!!!!!!!!!!!
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Raisi ni mskivu kuliko wabunge wake hivyo naona sasa muafaka utapatikana big up Jk
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  wataenda Davos?
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwani wanashindwa?kama suala ni uhai wa mtanzania.
   
 17. Z

  Zulqarnayn Senior Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maazimio ya kikao cha mabingwa MNH leo:

  1. Madaktari warudishwe kazini bila masharti wala adhabu yoyote ile mara moja
  2. Madai ya madaktari yalikuwa sahihi, yapatiwe majibu mara moja
  3. PM Pinda alipotoshwa na hakuwa sahihi
  4. Ufumbuzi utolewe ndani ya masaa 24
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  pamoja mkuu
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Vipi mkuu wanaenda kwa JK? Naona kuna sintofahamu ndani ya serikali na chochote chaweza tokea wakati wowote.
   
 20. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ratiba ilikuwa JK kukutana na madaktari bingwa pale MNH leo saa 3 asubuhi, imekuwaje tena wao ndo waende ikulu?
   
Loading...