Madaktari KCMC wemeuwasha upya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari KCMC wemeuwasha upya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by phina, Feb 1, 2012.

 1. phina

  phina JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Madaktari leo asubuhi wameukoleza moto kweli kweli!madaktari waliokwenye mafunzo ya vitendo (interns) wanazunguka tu wodini leo na madaktari wakazi(residents) wamekusanyika jengo la chuo cha kcmc wakiomba kupewa madarasa ya kusomea. Hii inatokana na vitisho walivyopewa na mkurugenzi wa hospitali kwamba hawaruhusiwi kugoma kwa sababu wao ni wanafunzi!
  Madai yao ni kwamab 'sisi ni wanafunzi wa chuo hivyo hatuendi hospitali kutibu!tupewe madarasa tusome!'
  Aluta continua
   
 2. phina

  phina JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jana,mkurugenzi aliwaitia mapolisi madaktari walio katika mafunzo ya vitendo-waliokuwa katika 'vikao' vyao!
  Huu si muda wa vitisho jamani-ni muda wa majadiliano!mnalazimisha punda kwenda mtoni hamwezi kumlazimisha kunywa maji!
   
 3. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  na bado
   
 4. phina

  phina JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  KCMC walikuwa wanajivunia residents..tuone ujanaja wao sasa!
   
 5. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kitendo cha rais kubariki posho za wabunge ndio kimewatia zaidi hasira wafanyakazi wote wa sekta ya serikalini
   
 6. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vp mawenzi hapo huduma zinapatikana??
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tanzania kuna shida nyingi sana,watu hawajali wengine wenye shida,kila mtu anajiangalia mwenyewe tu
   
 8. K

  Karata JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Rais hajasaini.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Japo kulikua na mgomo lakini kcmc walikua wanafanya kazi kiaina sasa wamewatishia wameharibu kila kitu
   
 10. m

  mariavictima Senior Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msijali wabunge watavaa makoti ya madaktari na kuingia kazini. Si kuna akina Prof. Maji Marefu!!!!!
   
 11. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huuu mwaka umeanza vibaya kwa watawala wetu, wanasahau kuwa nyakati za vitisho ulishakwisha na sasa ni wakati mwingine watu wanajua na kutambua haki zao.

  Watawala wakubali mazungumzo waache ubabe usio na maana wala faida kwa raia maskini na wasio na hatia hata kidogo wanaolipa kodi nyingi na kbwa kuliko wafanyabiashara wakubwa katika nchii hiii
   
 12. D

  Dr Wilson Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Residents,kazeni buti wasiwatishe hao hawana lolote,huyo mkurugenzi anaona yeye ndo mtumishi bora na hajali maslahi ya wengine,aingie mwenyewe WODINI atibu wagonjwa.
  Msitishike hata kidogo,sisi tunawaunga mkono,hadi kieleweke.
   
 13. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Wanazunguka kwenye corridors tu
   
 14. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hizo ni propaganda tu, Wabunge wanakula posho mpya toka kikao kilichopita.

  Je, kama Raisi hajasaini hizo posho zinatoka katika mfuko wa Spika Makinda. Kwani yeye mwenyewe amekili Bungeni kuwa "toka kikao kilichopita wanapokea posho mpya"

  Je, nani ni mkweli kati ya IKULU (Mtoa taarifa) na MBUNGE (Anayepokea bahasha)?????????

  Lile ni changa la macho toka Ikulu kutufanya watoto kwani hatuendi kuchungulia maakaunti yao yanavyonona kipindi hiki.

  Lakini ukweli ni kutoka kwa Spika ambaye ni kiongozi wa Wabunge amethibitisha hili jana.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 15. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  There is no we/us in capitalism.
   
 16. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Jamani sasa hali imekua mbaya ndugu zetu wanazidi kupoteza maisha hosptali kwa ajili ya serikali.wanasema hawana uwezo huku nyuma wanajiongeza posho wao.kwakuzingatia madai ya madoctor umuhmu wake kwao pamoja na sie wananch kushindwa kutimizwa na serikali.mm naona ikohaja ya kutowaachia madoctor wenyewe inabidi nasie tutoke barabarani kwa maandamano kuunga mkono wapewe haki yao ya msingi.nasie tuwekewe mazingira mazuri ya afya.pamoja na kuokoa ndugu zetu ambao mpaka sasa wanateseka hosptal ikiwa nipamoja nakupoteza maisha kwakukosa huduma.naomba kuwakilisha.
   
 17. phina

  phina JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  na wanfunzi walio wodini (MD3,4 and 5) wako mbioni kuungana nao!hata vidondwa havitaoshwa i say!na damu ya kufanyiwa vipimp haitachukukiwa!
  Maskini watanzania..
   
 18. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  hivi mganga mkuu karudi, ( Dr jakaya)
   
 19. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  aiseee
   
 20. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Where is this folk 'JK'?
   
Loading...