CHADEMA, toeni tamko kuhusu nyongeza ya posho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, toeni tamko kuhusu nyongeza ya posho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Jan 31, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa suala la kupinga posho likikuwa ni la chama kama mwenyekiti Mbowe alivyowahi kaliliwa huko nyuma na kusisitiza hilo si suala la zitto na kwa kuwa rais kapitisha nyongeza ya posho ya vikao kwa wabunge,twaomba Dr slaa kama katibu wa chama utoe tamko na ikibid tujue ni atua gan kama chama itazichukia. Mwisho,wananchi tumepokea kwa masikitiko makubwa kusikia wabunge wachadema nao walishangilia nyongeza ya posho mara baada ya kuambiwa na spika kuwa rais kakubali nyongeza hiyo,Naomba wote walioshangilia wafukuzwe kama tulivyotaka kumuadibisha shibuda.Vinginevyo tutaonekana wanafiki.
   
 2. k

  kiche JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wote ni wale wale,kama wanalazimishana kuchukua mimi nilifikiri ni bora wangekuwa wanazichuakua hizo pesa na kuanzisha mfuko wa wabunge ambapo kila mwezi wangefanya maendeleo kwenye jimbo moja moja na kutoa taarifa kwa umma,mfano ukichukua laki 2 x wabunge 48=9600000/= ukizidisha mara vikao utakuta ni pesa nyingi tu ambazo wangeweza hata kuchimba visima vya maji,kwa hili siwaelewi wanafikiri 2015 ni mbali!!!
   
 3. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chadema hili mkikaa kimya mtawakwaza wengi....msifanye haya makosa mtapoteza mengi
   
 4. Mchange

  Mchange Verified User

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 156
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  posho za wabunge ni kipimo kizuri sana cha kuwajua ni kina nani wakweli na kina nani ni wasanii.
  taifa letu linapita kwenye msiba mkuu kwa sasa kwa kuwa na viongozi wasioweka mbele maslahi ya wananchi wao na badala yake wanawekeza kwenye kulialia kuwa maisha ya dodoma ni magumu.
  mimi ninaishi sana dodoma, ugumu wa maisha ni kwa kila mtanzania na sio wakati wao wapo dodoma tu.
  kilo moja ya sukari ya dodoma ni sawa sawa na ya kule mtwara, lindi ama shinyanga. sasa tunapokuwa na wabunge wa kulia lia wakiongozwa na viongozi wakuu wa bunge na serikali ni hatari sana kwa rutuba ya nchi yetu.
  taifa imara hujengwa na watu imara wanaoweza kuwa tayari kulitumikia taifa lao. nina wasiwasi na wabunge wetu hawa wa sasa kama wanaweza wakawasimamia wanachi wao vizuri. na ndio maana nimegundua ni kwanini wengi wao hawashindi majimboni kwa sababu khakuna posho za kuhudhuria jimbo...
  African liberation has long way to go
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Tundu Lissu, yeye alisema huwa hachukuwi posho lakini wanamuwekea kwenye Akaunti yake.
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hili la posho ndio kaburi la cdm kwani nusu ya wabunge wanataka posho na nusu iliyobaki ni wanafiki wanasema kuwa hawataki posho lakini wakiwekewa kwwnye account zao wanachekele
   
 7. K

  KIZIWANDA Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tamko ni muhimu sio kwa wabunge tu hata na zile roho zinazonyakuliwa na shetan kizembe pale MUHIMBILI
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapa hakuna chadema, ccm wala CUF kwenye suala la pesa. kazi kweli kweli.
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwani mpaka mwaambie? kwani wao hawaoni? chadema yenyewe imejaa wachaga na hao kwa pesa wako tayari hata kuiba, sasa itakuwa hii ya kusiaini tu na hela inaingia? Think twice please.
   
 10. w

  wamwala Senior Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha kutukana watu bwana. Jadili hoja, kwahiyo hata SHIBUDA ni mchaga? acha unafiki
   
 11. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeshasemamara nyingi sana, kipimo cha posho kimewashinda kabisa hawa ndugu zetu waCHADEMA, mbona wanataka kutulazimisha kuamini ule usemi wa kwamba makabilafulani na pesa ni dam dam?
  CHADEMA wanasema hili suala ni la chama, ila sioni jitihada zozote zile zakuonyesha kuzipinga posho, na tumeambiwa kwamba wao wenyewe walishangiliakuskia waziri mkuu akitangaza ongezeko hilo kufikia laki2. Hii ni aibu kubwakwa chama, kama wameshindwa kusimamia jambo dogo hivi tutawezaje kuwaamini kwamambo makubwa?!
  Sitsaki kabisaa kuskia kisingizio cha daftari la mahudhurio, wala chakuingiziwa hela kwenye account kwanguvu. Kwani Zitto yeye anafanyaje?

   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  Kweli Zitto kiboko! Amejiwekea msemaji rasmi hapa JF! nice 2 unaifanya vyema kazi yako! Ingawa najua utapinga kwakuwa hajatangaza hivyo! Kwa umri wake na jinsi alivyo organised lazima nikiri ni kijana smart sana though msimamo wangu juu yake haubadilishwi na hayo!! Kila akifanya vyema tutamsifia kinyume na hapo tutamkosoa kama kawaida!
   
 13. k

  katatuu JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Posho posho kila kukicha posho hakuna lingine la kufanya.wabunge ndo hawoo wanapeta.na wamesema kila kitu kipo kisheria.mimi nadhani tushike jembe tukaline.tutasahau hizo posho na wabungu mbona mnakuwa kama wageni na tz.kupiga domo na tunajua hakuna kitu kingine.I love tz
   
 14. k

  katatuu JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Sisi sote ni watoto wa mama mmoja.nawaonea huruma wajawazito maana ndio watakaoteseka kuliko viumbe vingine.ee mungu epushilia mbali huu mgomo madaktari warudi kazini
   
 15. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kisebu sebu na kiroho papo,unafanya mchezo na fedha wewe
   
 16. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Videme zitto,makamba,kigwangala wengine mmmhhh
   
 17. k

  katatuu JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Ningeshauri watumishi wote bila kujali mbuge mwalimu daktari.mfanyakazi. Kila mmoja wao alipwe kutokana na elimu yake .viwekwe viwango kutokana na elimu zao.degree hapa.masterhapa grad hapa nk.matatizo haya yasingekuwapo.mambo ya mihimili mitatu inatuumiza sana.mtu analala bungeni anabebwa na wengine.haya sasa mashara jamani.kwenyesiasa kamwe sikanyagi.maana nafsi itanisuta.ee mungu wasamahe hao wanaojijali wao wenyewe.
   
 18. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swala la posho Chadema walishalipinga bungeni sasa nyie mnataka wafanyaje?Wakati ikipigwa kura ya ndiyo wao wapo wengi wanapitisha,Kama gari la Kambi rasmi ya upinzani bungeni,Mbowe alirudisha,sasa mnataka Chadema wafanye nini zaidi.
   
 19. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Tatizo lililopo ni kwamba suala la posho CDM hawalipendi na lipo katika taratibu zao. Kikubwa ni kwamba Raisi wenu kasaini kwamba walipane posho kubwa, na bado Mak India amesisitiza sana Bungeni kuwa kama Mbunge asiposaini basi Mak India atafuata kanuni za Bunge. na ukisaini ina maana pesa inapelekwa katika Akaunti yako na siyo kwamba unapewa mkononi. Na hivi vyote ni vitisho ili kuwalazimisha wote wasilipinge suala hili lililowasilishwa na "CHUKUA CHAKO MAPEMA" pale bungeni.

  sasa ni vigumu kwa Mbunge kuesma "wewe mtu wa benki usiniingizie hiyo pesa yote, punguza"

  Na kwa kuonyesha uroho wa pesa alionao Mak India bado jana amesisitiza kuwa posho imeongezeka na tunapokea toka vikao vilivyopita tena anasema kwa mbwembwe na kejeli kubwa za kujiamini. hivyo nyie pigeni makelele wenzenu wanakula.

  ACHANENI NA KUJADILI SUALA KAMA HILI AMBALO HATUWEZI KUBADILISHA SHERIA AMBAYO RAISI KEHA SAINI KWA MANUFAA YA WACHACHE.

  Tutafute hoja zenye msingi wa kujengana kimawazo.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!!!
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hamchoki na matamko? Wameandika kwenye ilani na kulizungumza bungeni bado tamko jingine? Mwisho watu watataka tamko la kufafanua tamko lililohusu tamko jingine!
   
Loading...