Alama za kukosekana kwa "Uongozi" kutoka kwa JK

NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,119
2,830
Yeyote anayejiuliza maswali kadhaa kuhusu uongozi katika nchi yetu, haya ni moja ya maswali yatakayomtatiza:1. Je kulikuwa na haja ya Rais kuanza mchakato mpya na vyama vya siasa kuhusu muundo au mchakazo wa kuunda kwa Katiba mpya akiwa Ikulu??2. Je ni sahihi kwa Bunge kama mhimili mwingine wa uongozi wa nchi kuwa na tofauti za wazi kuhusu maswala mihumu wa kiushirikiano? Hapa swala la posho za wabunge na danadana katika ofisi ya Bunge yenyewe na sasa na taasisi ya Urais. Majibu:1. JK amekosa ushawishi kwa mihimili mingine na sasa kila kiongozi anafanya analotaka na analoamua bila ushirikiano na wengine. Rais hawezi kuweka sahihi muswada ili uwe sheria halafu akarudi nyuma kutaka mabadiliko ya sheria hiyo kabla hata haijaanza kufanya kazi. Angejua hilo angeweka ushawishi wake kwa Spika ili mawazo ya wengine yasikilizwe na watu sahihi.2. Bunge na taasisi ya Urais lazima vifanya kazi pamoja. Rais ananukuliwa hata na Waziri Mkuu na Spika, lakini taasisi yake inajitokeza na kusema hizo nukuu si sahihi. Hivi kweli yote mawili yanaweza kuwa ni kweli?? Hapana, ni moja ndio sahihi au yote sio sahihi. Kinachotokea sasa kuhusu posho kinaacha maswali mengi na nyeti kuliko majibu wala hizo fedha!!Ombwe la Uongozi ndio janga la Taifa Tanganyika. Sio maradhi, njaa, magonjwa na umasikini!!!
 
Tatizo kubwa tulonalo kiongozi mkuu wa nchi ha make decision on critical issies. I wonder how are we going to survive three more years to come before next election. Rais hapaswi kuwaacha wajiamulie kila jambo,
 
rais hana msimamo,anabadilika badilika ,fuata upepo,wengi wape.UKITAKA UPENDWE NA KILA MTU UTA KUTA HUPEDWI NA YEYOTE. na yule anayetaka kumridhisha kila mtu hatamridhisha yeyote
 
Jk amefanya jambo la maana kutoa ufafanuzi kuhusu yeye kutosaini posho mpya za wabunge
 
Hivi mtu ambaye hata baraza la mawaziri anapangiwa nani wa kuwapa vyeo na wahuni wenye hela ataweza kuamua jambo lolote la msingi kweli?
 
hakunaga presider wa ajabu zaidi ya huyu, yaani ni ovyoooooo! hivi wife akikucheki analongaje? hii imekaa vibaya sana haivutii hata kidogo
 
Mhe. J.k anafata upepo wa maoni ya wananchi,kama anashindwa kusimamia taratibu zinazofaa,aanze kutumia usalama wa taifa na wasomi ma'analytical badala ya kufata ya upepo
 
Tatizo kubwa tulonalo kiongozi mkuu wa nchi ha make decision on critical issies. I wonder how are we going to survive three more years to come before next election. Rais hapaswi kuwaacha wajiamulie kila jambo,
not three !!!four years my friend 2012 is still too virgin to count it off!!!!
 
uongozi upo sema wewe ndio huoni
Si wakati wote unapaswa kukimbilia jambo. Wakati mwingine tulia na kutafakari. Jina lako ni "Rais wa Migomo". Ingekuwa kuna uongozi unaodhani siuoni, Urais wako usingehitajika kwa sababu kungekuwa hakuna hiyo migomo. You have a super shallow understanding of what leadership is. I am not talking about having a leader or not, I am talking about the quality of leadership. Take your myopic view to the streets. Your are blind in your head!!
 
Back
Top Bottom