Ni nini kinamwandama Dr. Chami?

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Kama wiki mbili zilizopita, waziri Chami alishindwa kuendelea na ziara jimboni kwake na kukimbilia India kwa matibabu. Wakati serikali inatoa taarifa kuhusu viongozi wagonjwa walioko India, iliokana kuwa haina habari na kuwepo kwa waziri Chami huko India. Uvumi ni mkali kuwa haijulikani yuko India au wapi.

Pia, ugonjwa wa Dr. Chami umekuwa ni siri kubwa sana kwa muda mrefu kiasi ambacho ni habari kiduchu zinatolewa kuhusu afya yake ukilinganisha na viongozi wengine hususani Prof Mwndosya, Mwakyembe na Zitto Kabwe.

Wananchi wanahitaji kujua afya ya kiongozi wao hasa wapiga kura wake wa jimbo la Moshi Vijijini kwa kuwa UKISHACHAGULIWA KUWA KIONGOZI WAKO MAISHA YAKO NI KIOO NI LAZIMA WALIOKUCHAGUA WAJUE KUHUSU WEWE.
 
Sawa yuko garage anaumwa nini ni starter mbovu? Au engine ime-knock?

Pistons zimegoma kufanya kazi, Cylinder head nayo siyo nzuri. kwa ujumla ana matatizo kibao ndiyo maana anafanyiwa overhaul
 
Itakuwa injector pump ina vuja. Si unajua kazi ya injector pumpkwenye engine zinazotumia injector pump?
 
unajua kuna wakati magari yakikaa sana garage wanawachoka mafundi sasa inasemekena jamaa amekaa sana kwenye garagewakaanza kuchomoa cylinder,rejetor ikabidi wamkimbize fasta
 
unajua kuna wakati magari yakikaa sana garage wanawachoka mafundi sasa inasemekena jamaa amekaa sana kwenye garagewakaanza kuchomoa cylinder,rejetor ikabidi wamkimbize fasta

atakuwa amekaribia kuuzwa kama scraper
 
Kikombe cha Babu Loliondo kimewadhalilisha Mawaziri. Huo ulikuwa mpango wa Lowassa na Askofu Thomas Laizer
 
tupeni taarifa kamili hawa wawili wako wapi chami na sumari ni lile lile jimbo la india au wamebadilisha majimbo
 
Juzi niliandika bandiko hapa kuchokoza mada kuhusu afya ya dr. Chami baada ya kushindwa kufanya mambo kadhaa ya kiserikali na kupelekkwa india.

Nia hasa ni kujua kuhusu ugonjwa wa dr. Chami kuondoa uvumi unaonezwa jimboni kwake kuwa eti amelogwa au kupewa sumu:

Nia ya kuanzisha hoja hii ni kutaka wananchi hasa wapiga kura wake waelewe ukweli na wajue ili wasipotoswe.

Binafsi sioni kama kuna mtu ana haja ya kumloga au kumpa sumu Dr. Chami. Hajawahi kuwa mpambanaji au kamanda dhidi ya mafisadi, bali amekuwa sehemu au pango la kuficha ufisadi haswa jimboni mwake.

Atakumbukwa jinsi alivyoamua kukaa kimya wakati mwekezaji uchwara akiwadhulumu kodi ya pango la hoteli maarufu ya Kilema Kyaroo ya wananchi wa Uru Mawela kwa miaka 12
 
huyu naye yumo kwenye list ya watukana waswahili na watu wa kariakoo kama alivyofanya anna makinda
 
Hii habari uliipost jana na watu walijadili.
Naanza kupata wasiwasi kuwa labda unahusika na ugonjwa unaomsumbua Chami.
 
Hii habari uliipost jana na watu walijadili.
Naanza kupata wasiwasi kuwa labda unahusika na ugonjwa unaomsumbua Chami.
ningehusika na ugonjwa wa chami ningeweka bandiko?acha kupayuka kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa ccm kabla ya mukama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom