Mgomo wa Madaktari: Serikali Yasalimu Amri! Yaomba Mazungumzo Upya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa Madaktari: Serikali Yasalimu Amri! Yaomba Mazungumzo Upya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Jan 31, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,572
  Likes Received: 18,393
  Trophy Points: 280
  Hatimaye serikali imesalimu amri, yatafuta mazungumzo upya na madaktari.

  Source ni Waziri wa Afya akizungumza na BBC Swahili jioni hii.

  Dr. Mponda amesisitiza licha ya madaktari hao kuamriwa kurudi kazini, Dr. Mponda amesema baadhi ya madai ya madaktari hao ni genuine hivyo serikali bado iko tayari kuzungumza nao nini inaweza kutekeleza na nini haiwezi!.

  BBC pia ilimpata Dr. Ulimboka ambaye alikubali kuwa wako tayari kuzungumza na Pinda. Dr. Ulimboka amesema wazi hawako tayari kuzungumza na watendaji wa wizarani ambao ndio wameufikisha mgogoro huo hapo ulipofika!.

  My Take
  Kumbe serikali bado iko tayari kuendeleza mazungumzo!. Sasa kwa nini Pinda aliharakisha kuutoa msimamo ule ile Jumapili ilhali ingesubiri mpaka Jumatatu ndipo wangeyamaliza!.

  Kurejea kwenye meza ya mazungumzo ni uthibitisho mwingine wa serikali legelege dhaifu na ya waoga kama kunguru!.

  Kwa serikali sasa kuwapigia magoti madaktari, Mhe. Pinda nae sasa awajibike kwa aibu!. Afadhali ya Lowassa aliwajibika ili kusave faces, Pinda awajibike kwa aibu ya mwaka kujidai kuchukua maamuzi magumu wakati uwezo hana!.

  Oh poor government!.

  Aibu!.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Yaani pamoja na ule uzi wa MMM alioongelea experience ya india kweli serikali ilidhani itashindana na madaktari? Kweli politics is too important to be left to politicians!
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Utapeli mwingine
   
 4. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Siku zoke naifananisha tanzania na yule mtu aliyesifia punda, kwa kila kitu alichoambiwa na watu
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wakimaliza wawalipe fidia wahanga wote wa mgomo
   
 6. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  nilijuwa hawatafika mbali. waliondoka na baiskeli ya miti....
   
 7. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pinda unawafukuza lini madaktari? mbona hutoi tamko?
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha stori niliyopewa na babu yangu(RIP). Kipofu alipewa uwezo wa kuona kwa sekunde chache kitu pekee kilichokuwa mbele yake alikuwa punda. basi kila kitu alichoambiwa aliuliza 'kama punda' ili ku-image ukubwa. ukimwambia punda mdogo ana imagine size, ukimwambia punda mkubwa ana imagine size pia.
   
 9. M

  Makupa JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kuna mnyama fulani akizaa huwa akihisi njaa tu anakula vitoto vyake
   
 10. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ni lazima angalau hata messenger awajibike ili serikali iweze kurudisha imani kwa wananchi wake kutokana na uzembe huu inaoufanya wa kupiga siasa kwa mambo isiyoyafahamu vizuri
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mbwa....
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu Mponda haoni aibu kuongea vile maana tulitegemea tusikie madaktari wote waliogoma wamefukuzwa kazi. Haya ni maji marefu wameigia kuogelea wakati hawana lifejackets. Serikali ya kipuuzi
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  hili li-movie sijui litaishaje!
   
 14. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aibu yetu, aibu yao?
   
 15. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  serikali ya ccm haiwezi kusalimu amri. Magwanda ndio wanaweza kusalimu amri
   
 16. il dire

  il dire Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  da Pinda na timu yake kiila siku inavyozid kwenda ndo wanazaraulika kwa Taifa. hili doa walilojitia si mchezo walifikir udaktari ni kazi ya kawaida kma ya kwao ya siasa where anyone can do it even fools na wehu, hiyo ni real proffession sio blah blah blah kma wanazofanya wao.
   
 17. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwanza Mhe Pinda akawahakikishie USALAMA WAO viongozi wa umoja wa madaktari kama sharti namba moja ya kukutana meza moja kwa mazungumzo.

  Pili, utekelezaji wa maazimio ya kikao kama hicho ndio iwe kama switch ya kuwarejesha madaktari kazini au hapana.

  Tatu, endapo posho za wabunge haitofutwa kimoja basi naona migomo ya Lecturers njiani, polisi, jeshi, waalimu n kadhalika maana na wao UGUMU HUO WA MAISHA wanaouona wabunge unawakumba ile mbaya.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wameanza kudanganya hawajasign posho za wabunge ili waombe mazungumzo, MADAKTARI KUBALINI MZUNGUMZO ILA MSIRUDI KAZINI HADI MPEWE MNACHODAI
   
 19. D

  Davie Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :lol: Magamba ndo akili yao ipo hivo...wanachojua wenyewe ni ''ukubwa wa punda" wasijue kuwa kazidiwa na wanyama wengine....Waliuchukulia huu mgomo kirahisi bila kujua athari ambazo wananchi watapata..
   
 20. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,523
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Tatizo letu kila kitu ni siasa.!
   
Loading...