NEC ya CCM inatakiwa iwa recall MAKINDA na NDUGAI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC ya CCM inatakiwa iwa recall MAKINDA na NDUGAI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yombayomba, Feb 1, 2012.

 1. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Waheshimiwa, hali iliyofikia kuhusu swala la madaktari na posho za wabunge ambazo inaonekana kabisa ni kinyume na sera za CCM. Ni wakati muafaka NEC, iwatoe hawa katika nyazifa zao na kuondoa majina yao , na wapendekeze watu wengine kwenye nafasi hizi. Hawa wanaiangamiza CCM sasa, kwa ni dhahiri asilimia kubwa ya watanzania wammechukia saana.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mimi nataka liondolewe lile kubwa lao la magogoni. Mnalilealea la nini?:msela:
   
Loading...