Nashukuru sana kaka nape kwamba uko humu jf na unachangia.naomba unijibu maswali haya ili niweze kurudisha iman kwa ccm na kuendelea kuitaman tz
1.ni kwa namna gani ccm haihusiani na ufisadi...
POSHO za vikao ambazo mjadala wake umechukua takriban mwaka mmoja sasa, huenda zikafikia ukomo mwaka huu kutokana na kuwapo kwa taarifa kwamba wabunge wamepania kuzifuta katika Bajeti ya mwaka...
Jimbo la Tarime ambalo CCM ilishinda kwenye uchaguzi wa 2010 kuna kila dalili kuwa CHADEMA italirudisha jimbo hilo kwenye uchaguzi ujao wa 2015 kwani wakazi wengi wamemchoka mbunge wao wa sasa...
Kwanini Serikali inakuwa nzito sana kusilikiliza mahitaji ya wasomi wetu wa baadae? Sasaivi ni siku ya ngapi tangu Chuo Kikuu waanze kuandamana, na bodi ya mikopo imekaa kimya, sasa mnataka...
Jamani nisaidieni huyu mama ana cheo kingine kikatiba katika serikali yetu au ni first lady tu! Maana matamshi yake aliyoyatoa katika msiba wa mchina mimi yaliniogopesha. Au ana komand kikatiba...
Hapa ninaangalia mapitio ya moja ya hotuba ya Hayati Mwl. Julius K. Nyerere akiongelea sera ya ubinafsishaji. Neno kubwa nililo note alisema sera hii itazalisha mamilionea lakini wachache na pia...
Nakipongeza chama cha mapinduzi. Hiki ndicho chama chenye dola kwa nusu karne sasa. Kina uzoefu na uongozi katika taifa hili. Kwa kweli kimefanya mambo makubwa kwa taifa hili ambayo bila shaka...
Jamani naomba kuhuliza mwenyekiti wa chama cha cuf prof lipumba yuko wapi kwani sikumsikia katika harakati za uchaguzi igunga may be inaweza ikawa sababu ya chama hiki (cuf) chini ya mtatiro...
Hali ya fedha katika serikali yetu ni mbaya sana kiasi kwamba motisha ya kufanya kazi kwa watumishi wake imeshuka sana kutokana na kukosa vitendea kazi nyeti na muhimu.
Ukitembelea ofisi nyingi...
Mwenyekiti wa Bavicha, John Heche, ameteuliwa na bodi ya Umoja wa Vijana wa Vyama vya Mrengo wa Kati Duniani(IYDU) kuwa mjumbe. Bodi mpya ya IYDU iliyoketi jijini Sydney Australia kuanzia Januari...
Pole sana enyi wavivu wa kufikiri juu ya makamanda makini mrema,waitara na singo benson.fuata haya ujue usiyo yajua yakupe mwanga.john mrema ni mwanachama wa chadema tangu akiwa chuo kikuu cha...
Kumbumbukumbu za Kikao
Kikao Cha Marafiki wa Marehemu Mh. Regia Mtema – January 2012
Mada Kuu: "Kumtambua Regia na Alichosimamia na Nini Kifanyike Baada ya Kututoka"
Kikao cha Marafiki...
Kwa mara ya kwanza nimeanza kukuelewa kdg,...hayo ma equation uliyo watupia si ya kitoto ( kuwatosa NEC ),mpaka wakifanikiwa kuyafungua ma braket itakuwa tuuleiit na uchaguzi wenu umeshapita.
Wasi...
Wananchi wengi hivi sasa wameamini kuwa Chadema ni majembe na kwa asilimia kubwa wanaiongoza nchi bila kuwapo ikulu. Haya yamedhihirika kutokana na mambo kadha wa kadha ambayo Chadema...
TAARIFA KWA UMMA
Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inapenda kuutarifu umma kuwa viongozi kadhaa wa kitaifa, wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Bara...
waheshimiwa wana JF.
kwa heshima kabisa nashuka hapa jukwaani nikiamini kuwa wote mliopo humu ni the greatest thinkers na JF ni Greatest thinker tank. Baada ya matokea ya Darasa la saba 2011 na ya...
Wadau nimeinasa mahali kuwa kuna mazungumzo yanaendelea baina ya baadhi ya Viongozi vijana kuacha tofauti zao za kiitikadi (Kivyama) na kuanzisha jukwaa la Viongozi vijana kwa lengo la kujadili...
serekali wanaogopa hii mitandao ya jamii habari zinafika kwawananchi mapema sana bila wao kuzifikisha wao wanajaribu kubada habari za msingi wanaogopa kufikisha ujumbe kwa wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.