Je hii kauli ya Mw. Julius K. Nyerere ndio inatimia au?

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Hapa ninaangalia mapitio ya moja ya hotuba ya Hayati Mwl. Julius K. Nyerere akiongelea sera ya ubinafsishaji. Neno kubwa nililo note alisema sera hii itazalisha mamilionea lakini wachache na pia itazalisha maskini wengi wa kutosha. Je hii inaweza ikawa imetimia?
 
Kina JK kipindi hicho walikuwa wanajinasibu kuwa Tanzania haiweza kuendelea hadi Nyerere atakapofariki!!
 
Hapa ninaangalia mapitio ya moja ya hotuba ya Hayati Mwl. Julius K. Nyerere akiongelea sera ya ubinafsishaji. Neno kubwa nililo note alisema sera hii itazalisha mamilionea lakini wachache na pia itazalisha maskini wengi wa kutosha. Je hii inaweza ikawa imetimia?

yani huyo ndugu yetu aliona mbali!
 
Back
Top Bottom