Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kikwete mtuhumiwa, tufanye nini? Na Kondo Tutindaga - Imechapwa 30 November 2011 Kisima cha Mjadala UKURASA mpya kuhusu sakata la Richmond, umefunguliwa baada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu leo Mh Zito Kabwe ilikuwa ahutubie mkutano wa hadhara hapa wilayani Handeni. Lakini mamia ya wananchi waliojitokeza wamejikuta wakisubiri kwa muda mrefu bila mafanikio na hata viongozi wa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Chama cha CUF kinatarajia kuanza ziara ya muda mrefu katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa lengo la kuimarisha ngome zake kanda ya ziwa.Taarifa ya chama hicho inasema Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
kikao cha kamati ya utekelezaji ya UV-CCM mkoa wa Arusha kimevunjika leo baada ya wajumbe wawili Mrisho Gambo na mwenyekiti wa UV-CCM wilaya Karatu Bayo kutiana makonde kavukavu na baadaye...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Katika kufanya tafiti ya jumla nimegundua moja ya tofauti kubwa kati ya Mwafrika na Mzungu ni kwamba, Sisi waafrika tuna ungana na kushirikiana zaidi kimwili wakati wenzetu wanashirikiana na...
4 Reactions
59 Replies
16K Views
Mheshimiwa Kamanda Mwema - IGP, Nadhani utakuwa na taarifa na kama huna taarifa basi tunaomba uanze kuifanyia kazi taarifa hii: Kuna Genge moja la Kitapeli ambalo limezuka hapa jijini na kufanya...
6 Reactions
73 Replies
8K Views
Jopo la viongozi wa Baraza la vijana wa Chadema (BAVICHA) limeanza ziara ya kukiimarisha chama mkoani Tanga. Jopo hilo linaongozwa na Mwenyekiti wa Bavicha bw. John Heche akipewa support na Naibu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kulingana na mwenendo mzima wa nnji yetu tujalibu kupitia vichache.....kenye kichwa chako juu ya maisha ya mtanzania wa leo na yule wa miaka ya zamani.....#kibao sugu ft king kikii hapo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuwasilisha. Hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa ndani ya chama Tawala, hususani katiba yao. Kimsingi sina haja ya kupinga haya mabadiliko, laa kujua lengo la haya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Waandishi Wetu - RaiaMwema Dodoma Mjumbe wa NEC ya CCM, Edward Lowassa Lowassa, Chenge utata, Rostam Aziz milango yafunguka Wabunge wawekewa kikwazo, Wassira, Lukuvi wapinga MIPANGO ya...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha amemtaka Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta kuwasilisha ushahidi wa madai aliyoyatoa juzi kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Taarifa toka Zanzibar ni kwamba Chama cha Wananachi (CUF), kilishindwa kulinyakua jimbo la Uzini kutokana na kuwa na wakristo wengi na watu wa bara. Haya ni madai ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Nape: Mleteni Slaa Arumeru • Asema CCM wanakesha wakiomba aruhusiwe na Mwandishi wetu SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi nani anaweza kuwaambia wakulima na wafanyakazi ambao ujira wao thamani yake haitegemei mabadiliko ya gharama za uendeshaji wameathirika kiasi gani na upandaji wa gharama za TANESCO. Nimeona...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Kaka salam, umekua mahiri sana katika kuzungumzia chama,nadhani pia ni vizuri ukaamua kuwania ubunge ili kujijenga katika hoja za kitaifa kwenye muhimili wa Bunge.Njoo Meru upambane na Nasiri...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama kunakosa kubwa la chadema la kupoteza wanachama lushoto ni hili la mh.ZITO kutofika wilayani hapo.KWA NINI? 1.mwaka 2010 mgombea urais ndg WPS ALISHINDWA KUFIKA HUKU AKISUBIRIWA ZAIDI YA...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya serikali iliyoko madarakani kushindwa uongozi kwa mtazamo wa walio wengi hapa Nchini. Mi binafsi tangu jana nimekuwa ktk lindi la mawazo kutokana na majibu ya Jeshi la polisi kuhusu hili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Lugha ya kimombo ilikuja kwa meli ....................
1 Reactions
96 Replies
8K Views
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hana mpango wa kugombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki.Juzi, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alikaririwa akisema kama Dk Slaa ataamua...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe anatarajia kuondoka nchini wakati wowote kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu. Dk Mwakyembe amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom