Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kipindi kirefu sasa mara upitapo ofisi ya mkuu wa mkoa utakereka kwa harufu nzito ya kinyesi. Jamani hadi tutoe malalamiko JF ndipo mfanye usafi? OK fanyeni usafi mnatuchefua sana.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari ya radar inafedhehesha sana, ati Mkapa alishawishiwa na Blair! Soma.... By The Citizen Reporters Dar es Salaam. An internationally acclaimed book by a seasoned journalist and...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Angalia anavyotafuta umarufu?? "@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika “Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL." My take...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Peter Serukamba ni mbunge wa Kigoma Ujiji,na ni mjumbe wa NEC ya CCM, ni krimu ya siasa za Kijani na ni sura ya Ujana ya CCM, Wakati taifa na wanamageuzi kwa ujumla wakipambana kukemea ukwasi...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Mh. Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba kwa kupitia account yake ya twitter (let's hope it is not hacked)anaendelea kutetea wabunge kuongezewa posho. Amediriki kwenda mbali kidogo kwa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
WAKATI tetesi za kupanguliwa Baraza la Mawaziri zikizidi kupamba moto, hali ya afya ya baadhi ya mawaziri imeelezwa kuwa tete hivyo kulazimika kupelekwa India kwa matibabu.Miongoni mwa Mawaziri...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
List of Shame 1. Daudi Balali (Marehemu?) 2. Andrew Chenge 3. Basil P. mRAMBA 4. Gray S. Mgonja 5. Patrick W.R. Rutabanzibwa 6. Nimrod Elirehema Mkono 7. Nazir Karamagi 8. Rostam Aziz 9. Edward...
1 Reactions
70 Replies
10K Views
kuendela kuanga kwa chama cha wananchi cuf je nini chanzo? katika uchaguzi wa jana huko unguja cuf imezidiwa na chadema tena . je ndio mwisho wa cuf au cuf inahitaji mabadiliko ya uongozi au...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwaka mmoja baada ya milipuko ya mabomu katika kambi ya jeshi gongolamboto umetimia leo huku wananchi walioathirika na milipuko hiyo wakiwa bado wanateseka. Serikali kupitia ofisi ya mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WAWILI WAENDA INDIA KIMYAKIMYA, DK CHAMI AWA MBOGO, ASEMA WANAOSUBIRI KUONA WENZAO KWENYE MASANDUKU WATASUBIRI SANA Waandishi wetu WAKATI tetesi za kupanguliwa Baraza la Mawaziri zikizidi kupamba...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),John Cheyo Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesema matumizi ya fedha za misaada zinazotolewa kupitia kitengo cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna Wabunge ambao wameudhi,wamekera,na kuwachefua Watanzania kwenye Mkutano wa Bunge uliomalizika hivi majuzi ni Anne Kilango Malecela. Mama huyu anayejipambanua kuwa ni mkereketwa na...
6 Reactions
115 Replies
13K Views
pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa Tz kwa 1.namna anavyoichukulia hii ishu ya Katiba-JK alikubali kuyafanya mapendekezo ya CDM kuwa ndio mswaada wa serikali...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Sheria ya uanzishaji wa Katiba mpya imepitishwa Bungeni baada ya maridhiano ya Chadema, CUF, NCCR na vyama vya kijamii na kufanya sheria hiyo iaminiwe zaidi na wadau. Kutokana na Rais kuridhia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tetesi kutoka katikati ya sebule la bro wa magogoni zinasema yuko mbioni kupangua baraza la mawaziri wakati wowote kuanzia sasa. Katika upanguzi huo mawaziri wote wenye matatizo ya afya kuwekwa...
1 Reactions
379 Replies
33K Views
Kutoka Raiamwema kwenye kichwa cha habari " Kikwete anusurika, awang'oa wenzake' kuna sentensi zimenichekesha na kunisikitisha sana kwa hawa wanasiasa wetu. Kuna huyu waziri katumwa na wenzake...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Napenda nieleweke hapa siongelei kuhusu wanasiasa wetu wana masters au phd ngapi maana sisi tumeishasoma vyuoni na kuona watu wanavyocopy na kupaste thesis na research zao.Ninachota kuongelea...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasalam, Kwanza nianze na kumpongeza bwana Malecela, Le Mutuzi. kwa wazo lake zuri la kurudi Tanzania na nia ya kuwakombia waTanzania. Nimefurahi kusikia unaenda vijijini Dodoma kusikiliza...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
we have to make changes to our country we as educated peoples so that we can shape our country for the future generation.
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Wakuu Kesi inaendelea tena leo,na shahidi wa nne Bwana Salim Mpemba ambaye alikuwa Katibu wa ccm wilaya anatoa ushahidi wake. 1.Wakili Mugwai.Wewe ni nani na nafasi yako 2.Shahidi.Mimi ni Salim...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom