Hawa ndio waliochukua fomu Arumeru mashariki kwa tiketi ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndio waliochukua fomu Arumeru mashariki kwa tiketi ya CCM

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwanajamii, Feb 17, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  1. Elishilia Kaaya

  2.Antony Mmassi

  3.William Sarakikya

  4.Sioi Sumari

  5.Antony Msami

  6.(Jina sikulipata vizuri).

  Zoezi la kuchukua na kurudisha fomu bado linaendelea. Naomba kuwasilisha.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Japo zoezi bado linaendelea, nimeona niletee japo hawa niliopata majina yao na pengine niseme kwamba kati yao mmoja ndiyo atakayepambana na wa CHADEMA ambapo kuna tetesi kwamba anaweza kuwa yule aliyekwaana JK kutaka kuingia magogoni... ngoja tuone kama tetesi hizi zitakuwa za kweli.
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hapo mshindi ni sioi sumary tena kiulaini . Watch & c .
   
 4. k

  kabuga Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unatuambia itusaidie nini?
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  We mkuu umeisoma hii thread ulitegemea ni nini ..? Si ungeipotezea tu

  Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mijina mizito mizito, hakyanani hapo itaishia kwa kufarakana.

  Kunguru kaa pembeni utege, panzi wanakaribia kuanza vita
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wale wenzetu wa MMU, ukiwaondoa huko majukwaa mengine kwao ni kizungumkuti. Mshauri aende MMU kuna topic mpya za kupendana na kusalitiana, wenzake wanajadili
   
 8. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,959
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Umejuaje mkuu?
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Rudi asubuhi hii ukazimue angalau na moja ya baridiiiiii ndiyo urudi tena hapa!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tuwekee na vyama vingine,sisije kachukua nani?
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Haha basi aende kuna topic kule shori flani alikuwa hajui kunyoa nywele za sehemu za siri kaweka ushuhuda wamjadili ... Nadhani mi jadala Ile ndio size yake

  Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Sisi machalii wa usa,kikatiti, kwa fundi tunasubiri mabilioni ya ccm turekebishe mambo,kuhusu kura si unajua sisi tuna mungu wao wana hela chaliyangu?
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  King Kong nyie bado mnazungumza na DR aweze kuchukua fomu yeye mwenyewe sijui hatua zilizofikiwa hadi sasa... nikipata nitaweka!
   
 14. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Tafadhali msiziache hzo kodi zetu,ila msije tusaliti,hayo sio mabilioni ya ccm bali ni kodi za watanzania wengi wao wakiwa masikini.
   
 15. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Elishilia kaaya nae si kachukua form. Naona hataki tena kazi ya ukurugenzi AICC. Akamuulize patric serre
   
 16. r

  rZiKY Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio ivo mkuu..usa makumira leganga tengeru kote wanajua mbunge nassari hao wengine wachukue tu form kukamilisha procedure...
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Dr achukui form mkuu,weka na kina ccj aka cck
   
Loading...