Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mashayo, Feb 4, 2011.

 1. M

  Mashayo Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini Serikali inakuwa nzito sana kusilikiliza mahitaji ya wasomi wetu wa baadae? Sasaivi ni siku ya ngapi tangu Chuo Kikuu waanze kuandamana, na bodi ya mikopo imekaa kimya, sasa mnataka wafanye nini ili mjue kwamba wako siriazi?

  Kwanini mnakuwa wazito ku-address mahitaji yao ndani ya muda sahihi? Wapeni basi hata angalau haki ya kusikilizwa, wanaweza kutulia na kuendelea na masomo. Anaweza akatoka kiongozi yoyote kutoka Bodi, Wizara ya Elimu, au Mkoani (Afisa Elimu wa Mkoa) kusikiliza shida za wanafunzi alafu akazipeleka kwa wahusika kwa ajili ya kufanyia maamuzi ndani ya muda ambao watampa wanafunzi. Its very simple like that.

  Ngojangoja yaumiza matumbo mwishowake kuumizana na vurugu ambazo majeraha yake yanaweza yakasababisha ulemavu. Serikali ya Misri (na ile ya Ethiopia kipindi fulani), imefumbia macho matatizo ya watu, mwishowe ndo yanawatokea puani. Never under-estimate an intellectual mind.

  Note that, mnapoacha kutatua matatizo ya wananchi hadi waandamane kwa vurugu, mnawajengea tabia ya kudai haki zao kwa vurugu. Na polisi wakiwapiga, next time, watajiandaa kupambana nao. Mwishowe vurugu juu ya vurugu, matokeo yake wageni wataogopa kuja kusoma Tanzania, Mapato sekta ya utalii yatashuka, Wasomi wetu nje ya nchi wataonekana wamesomea kwenye vurugu, Wanachi wataanza kukosa imani na Serikali yao, Magharibi wataanza kuingilia siasa za ndani ya nchi yetu etc., Again, Never under-estimate an intellectual mind.
   
 2. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  NI kweli ndg yangu! Bt unafikiri haya yote hawayaoni wala kuyajua? ni vichwa vyao kuwa vizito kuamua, wakidhania kuwa watnzania ni watu wa kulia na kunyamaza! yawapasa kusoma majira na nyakati, huu moto wa vyuo vikuu si wa kuzimwa kwa mabomu, na waspo angalia wanatengeneza uhasama zaidi na serikali ambao utaenea nchi nzima na hatimaye yalotokea Misri na tunisia kuonekana Live ndani ya TBC star tv, ITV n.k na wengine kushuhudia live kwa kushiriki. Mi sjui kwa nini huyu mkwere kwere kakaa kimya, yani kama vile haimhusu kabisa! Bt ukigusia DOWANS anaibuka, ni nini? Ki ukweli huu ugumu wa maisha ya Chuo Kikuu nimeyaonja, Pesa haitoshi!! na waspolisikiliza hili fasta na kulitekeleza Arusha nako tupo nyuma twaja afu tuone!!
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CCM na ngebe zao mambo mazito. mufirisi kabisa!!! ha ha ha ha ha !!!
   
 4. l

  leonard ngobole Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nadhan viongoz hawajastuka kwamba hii ni miaka ya mabadiliko wanadhan ni kama enzi zile walivyowanyanyasa wazazi wetu na wakakaa kimya! hivi suruhisho la mtu anayedai haki yake ni kumpiga mabom ya machoz? ama kweli pema uachapo pema urudipo pema si pema tena na nimeamin aliyeshiba hamjali mwenye njaa! kiukwel ni kwamba viongoz wa nchi hii wote wana jini mufilisi...
   
 5. e

  eliaspaul New Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Of course, mambo magumu sana huku viwoni kwani silece(mikate) ndio imebaki kuwa mkombozi
   
Loading...