Huwezi kuacha kuwambua makamanda Waitara, Mrema na Benson ndani ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwezi kuacha kuwambua makamanda Waitara, Mrema na Benson ndani ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saguge, Feb 18, 2012.

 1. s

  saguge Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana enyi wavivu wa kufikiri juu ya makamanda makini mrema,waitara na singo benson.fuata haya ujue usiyo yajua yakupe mwanga.john mrema ni mwanachama wa chadema tangu akiwa chuo kikuu cha dsm.huko udsm mrema alikuwa waziri mkuu chini ya mwita mwikwabe waitara kama rais na hata baada ya kumaliza chuo mrema hakuna oparesheni yoyote ya chadema ambayo aliacha kushiriki hadi leo.mrema ameongoza maandamano mbali mbali na hata biharamulo mg na leo kuna mbunge huko kama matunda ya mrema.kwa ufupi hata hao watoto ambao wanatajwa kuwa mbadala wa mrema hawana vigezo vyo vyote vya kulinganishwa na mrema hata hivyo kumbukeni ukiona vinaelea vimeundwa na hao wanachonga leo ni baada ya chadema kung'ara kwa kazi ya mrema na wenzake sasa wanatoa udenda.sema ni oparesheni gani ambayo hao walishawahi kuongoza ndani au nje ya chadema kama mrema aliongoza udsm yenye wanafunzi na wasomi waliobobea 26000 unaweza kumlinganisha kweli na heche ambaye kiti alipewa na hao hao akina mrema au ujumbe wa iydu ambao nao alionewa huruma baada ya kushindwa vibaya au jamani watu kama mwampamba,mchange,gwakisa,nyakarungu?acha kumtania mrema hata kama humpendi na wala mbowe wakati wa uteuzi wa mrema ila ni kikao kiliamua na maamuzi haya hayawezi kubadilishwa kwa sababu hao wanao lalama ni wachovu mwisho kama kushinda ubunge ni akili na uimara basi hata komba,wasira serukamba,na wote wabunge wana akili sana kuliko nyie humu jf!waitara ni kamanda tangu enzi hata hao akina heche ambao kwa mtazamo mnadhani anauwezo sana.waitara hakuna cheo ambacho hakuwahi shika tangu msingi hadi sekondari.akiwa mlimani alikuwa rais wa DARUSO.alipomaliza alikuwa katibu wa uvccm kinondôni na baadaye vijana mkoa wa tanga na mwaka 2008 aliingia chadema na kwa ushahidi muulize heche na mwera kama hawakufanyiwa kampeni naye!mwaka 2010 alishinda kura za maoni na heche na mwera wakakubaliana kwenda cuf mwera akatangulia heche na ndg yake wakaenda hai kwa mbowe akamuahidi kiti ambacho kweli amepewa na heche wakaungana na gachuma,mama kabaka,nyambari kupinga chadema.jadili
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  Hii nini tena?
   
 3. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  mbona mgogoro ulishaisha mkubwa..waliokuwa wanamkataa ni magamba kwa kumuhofia, kwa kuwa hwakuwa na hoja wameshakimbia tayari
   
 4. e

  evoddy JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jenga hoja acha kuchafuana hii siyo CCM ni CHADEMA, kazi ya chadema ni kujenga hoja siyo kuleta unafiki.
   
 5. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  mrema amejitolea kukataa pledge ya S**** H***E nafasi ya u*C mara baada ya kumaliza UD... ili aimarishe upinzani kwa faida ya taifa!! sijui kama wanaomwandama wanalifahamu hilo?

  yule jamaa ni kichwa ...... nimewahi kujadiliana naye mara kazaa......ukimtizama machoni tu unapata jawabu la swali ulitaka kuuliza.....
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu ondoa hii thread mambo yalishaisha.
   
 7. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,288
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Hapo ndiyo umezidisha maji bila ulazima wowote. Hakuna anayepinga harakati za Mrema kujenga chama, lakini kwamba ubunge wa Dr Mbasa ni matunda ya Mrema, huo ni uongo dhahiri. Tueleze hali yake kisiasa huko Vunjo!
   
 8. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Loading....... Mrema anatoka mkoa....!
   
 9. b

  bensonlifua92 Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Chadema vipi tena.... haya tena ya nini...??? Jamani cdm hakuna ambaye ni zaidi ya mwingine.

  Ugonjwa huu wa makundi peleka magamba (ccm) ambako wako kimtandao, sijui wapiganaji, sijui ukanda, sijui, waislam na wakristo,,, sjui wabara na wa visiwani.

  CHADEMA huu mchezo hatuutaki! Na nyie mnaosifiwa kumbukeni kazi yenu ni ukombozi wa taifa na siyo malumbano yasiyo na tija na maslahi binafsi... wanaotaka faida binafsi tafuteni ajira binafsi kama huwezi changanya utumishi wa umma na siasa

  Wito wangu kwa Viongozi wa kitaifa ebu jaribuni kuwaita hawa wanao dhani ni maarufu au tuseme na walio ktk mstari wa mbele ktk mapambano ya ukombozi wa taifa letu wapeni semina ya how to behave in the system... wasiwe watu kama vile wako ccm..maana kule kila mtu anajisemea vyake... mara nape anasema hiki, ooh sijui mkama hivi, ooh chiligati, sijui nani hakuna mwelekeo... cdm muwe waangalifu.... Wazee wa cdm tatueni tatizo hili kabla halijaanza kuharibu umoja wetu.... a divided house (like ccm) will not stand... it must fall... so we don't need to see a divided cdm kwa mtindo huuu!!
   
Loading...