Salma Kikwete ni first lady tu au naibu waziri mkuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma Kikwete ni first lady tu au naibu waziri mkuu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by domokaya, Oct 19, 2011.

 1. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,171
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  Jamani nisaidieni huyu mama ana cheo kingine kikatiba katika serikali yetu au ni first lady tu! Maana matamshi yake aliyoyatoa katika msiba wa mchina mimi yaliniogopesha. Au ana komand kikatiba kwa jeshi la polisi au hata pengine jeshi la wananchi?
   
 2. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani amesemaje??? maana sijamsikia siku nyingi sana huyu mama
   
 3. O

  Omr JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ana "KOMAND" mumewe ambaye ni Rais wako wewe, mwenye nguvu ya ku "KOMAND" jeshi la polisi na JWTZ. Kama huna mke basi huwezi jua nguvu ya mke kwa mumewe.
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hata sio First Lady First Lady ninayemjua mimi ni Mama maria Nyerere sema kwa vile watanzania na sisi tupotupo tu tunapelekwa pelekwa so hata zembwela leo anaweza toa comand kwa wananchi
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nadhani aliongea kama Mama aliyeona uchungu kwa tukio lilivyotokea, ni hisia tu kama binadamu mwingine anaweza kuona huruma mpaka kushikwa na tafrani ya kutamka jambo lolote.
   
 6. O

  Omr JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  muanzisha mada mwenyewe ameanzisha kinafiki, ameanza kama mke mwenza wa Salma
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  aliyemyima elimu alikosea sana
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hapa umeongea kienyeji mno!
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ni mshauri na muamuzi mkuu wa serikali
   
 10. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kwenye Katiba hakuna cheo kinachoitwa "1st lady". Lakini akienda Mikoani anatumia misafara mirefu ya magari ya serikali na pia anasomewa taarifa za Mikoa au Wilaya husika. Sijui kwanini na sijui huwa anazipeleka wapi taarifa hizi akishasomewa, au sijui huwa anazijibu papo hapo, na anazijibu kwa dhamana ipi ingawa hata wanaomsomea taarifa za Mikoa wanapaswa kuulizwa kwanini wanafanya hivyo. Au pengine ni utaratibu wa ccm manake wanaomsomea taarifa kule mikoani na wilayani ni wakuu wa mikoa na wilaya ambao kimuundo ni makada wa ccm. Na pia kuna "1st Son" anayepiga misele mikoani kama kampeni, na huko zinatumika rasilimali za Serikali kwa misafara na vyombo vya dola kumlinda. Kama ni mkenge basi Watz tushauingia, tunahesabu maumivu tu sasa.
   
 11. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  True mkuu.....waambie hawa jamaa wanakurupuka na post za kizushizushi humu
   
 12. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hapa lazma nipite kiiimya kabisaaa.. mama uone hii threads mie sijacomment chochote.. nimepita tu.. mie wivu sina.. ila roho tu ndio inaumauma tu.!!
   
 13. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ndugu umeongea kama nilivyotaka kusema, jamani huyu mama anatumia vibaya kodi za wana wa nchi hii, msafara wa mama Salma ni zaidi ya msafara wa Mh Pinda, sisi wakazi wa Kigamboni kwa kweli sasa tumemchoka anasababisha usumbufu kwenye ferry na hata barabarani, anachokwenda kufanya hata hakieleweki mara sijui mradi wa kitu gani mara anakwenda kuangalia shamba sijui kiwanja, kwa kweli kama ni malipo kwa kosa walilofanya usalama wa taifa na tume ya uchaguzi wa 2010 ndio haya sasa, ki halali kabisa huyu mama alipaswa kuwa na gari moja tu na mpambe wake basi, yeye sio rais, sio makamu wala sio waziri mkuu sasa msafara wa nini, first lady?! mbona hatukuyashuhudia haya huko nyuma enzi za Anna Mkapa, kweli Elimu ni Mali. jamani mliokaribu na hii serikali angalau wasaidieni kwa kuwaeleza kwamaba vitendo kama vya huyu mama ndivyo vinasababisha Hasira za wananchi zizidi kupanda na ipo siku tutasikia hata watu wamefanya kitu cha ajabu, hebu tujaribu kuwangalia na wananchi jamani, mama anamsafara mkubwa na msururu wa polisi, ving'ora vingi ilihali wananchi wanavunjiwa nyumba zao na majambazi na polisi hakuna, ghara za misafara ni kubwa wakati huduma za jamii zinazidi kuwa duni kuliko hata enzi zile za ujima.

  Watanzania wenzangu tuamke na tuchukue hatua.
   
 14. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,346
  Trophy Points: 280
  Hana jipya, wale wale..kazi kumisuse rasilimali zetu.
   
 15. A

  Akiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  nimeshangazwa sana na haka ka mama pamoja na jeshi la polishi , yaani mchina kuuwawa ndiyo kimewaumaaa, mpaka mnaenda kumzika na mapikipiki. watanzania kibao wanakufa kwa kupigwa nondo za kichwa huko mbeya, huyo asha ngedere katulia ikulu kama hayamuhusu, kusikia mchina kauwawa anakurupuka maneno kibao, kwanza kanasumbua watu kutwa kako barabarani kanatujazia foleni . tulia kwa mumeo . mala leo kako mtwara , kesho kwenye maulid manzese, kesho kutwa mgeni rasmi wa misi tandale kwa mtogole. mnakera sana
   
 16. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaaaaa, unaongea na wa jina...
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  marehemu alikuwa mfadhili mkuu wa WAMA!
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Acha ujinga wewe! Unafikiri jinsi unavyopelekwa pelekwa na mkeo ni wanaume wote wanafanyiwa hivyo! Kama rais wako nae ni kama wewe usidhani ni jambo la kuzungumza hadharani. Ni upuuzi huo!
   
 19. m

  malimwengu Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hajjat Amina alikataa kumsomea taarifa wala kumuandalia mapokezi akidai hana bajeti ya kufanya hivyo ona kilichomtokea amemwagwa! Wakuu wa mikoa ni mouse girl na mahouseboy wa mke wa rais wetu huyu hapa
   
 20. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,172
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Anaongea utadhani anahutubia a, e, i, o, u kwa watoto wa chekechea. Huwa hainipi utukufu kwa kweli kumsikiliza huyu mama.
   
Loading...